Huheso FM

Recent posts

April 12, 2021, 5:05 pm

Manispaa ya Kahama yaanza utoaji wa hati ya Ardhi

Kufuatia tamko la waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi kuwataka wananchi kupima viwanja na kila mwenye kiwanja kumiliki hati ya Ardhi wananchi katika Manispaa ya Kahama wametakiwa kujitokeza kuchukua hati zao kwa wale waliolipia. Kauli hiyo…

April 8, 2021, 3:21 pm

Manispaa ya Kahama yapanga bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022

Halmashauri ya Manisapaa ya Kahama mkoani Shinyanga inatarajiwa kutenga bajeti ya mwaka wa fedha 2021/2022 jumla shilingi milioni 900  hadi Billioni moja kwa ajili ya vikundi vya maendeleo kwa akina mama vijana na watu wenye ulemavu. Hayo yamesemwa na mkuu…

March 28, 2021, 11:26 am

Nec yatangaza uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Muhambwe Kigoma.

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza Ratiba ya uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Muhambwe, mkoani Kigoma baada ya kupokea Barua kutoka kwa Spika wa Bunge kuwa kiti hicho kiko wazi. Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya habari Jijini Dodoma…

March 25, 2021, 2:37 pm

FADEV kutoa ruzuku kwa wanawake Wachimbaji Wadogo wa Madini Shinyanga.

TAASISI ya kuendeleza wachimbaji wadogo wa madini hapa nchini (FADev), wanatarajia kuanza utoaji wa fedha za Ruzuku kwa wanawake ambao ni wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu mkoani Shinyanga, pamoja na kuwapatia mkopo wa vifaa vya uchimbaji bila riba, ili…

March 24, 2021, 10:31 am

MASHARTI YA MILA ZA JADI CHANZO CHA MAGONJWA YA MILIPUKO MIGODINI

IMEELEZWA kwamba mila na desturi za jadi, zinazoabudiwa na baadhi ya wachimbaji wadogo,zimekuwa ni miongoni mwa vyanzo vinavyochangia kuibuka kwa magonjwa ya milipuko kipindi cha masika katika maeneo ya migodi. Hayo yalielezwa na Katibu wa Idara ya Afya na Mazingira,…

March 24, 2021, 9:46 am

MADINI YA NICKEL KUWEZESHA AJIRA 3000.

IMEFAHAMIKA kwamba uwekezaji wa madini ya Nickel wilayani Ngara sambamba na kujengwa kwa kinu cha kuchenjulia madini hayo ( Smalter )katika Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi,wilaya ya Kahama,mkoa wa Shinyanga,utawezesha kupatikana ajira za watu 3000. Hayo yalibainishwa juzi wilayani Kahama,na…