Huheso FM

Recent posts

April 26, 2021, 5:04 pm

RPC Shinyanga “Madereva tumieni hekima kuendesha magari yenu”

Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Shinyanga ACP Debora Magiligimba amefanya ukaguzi wa kushtukiza kwa mabasi yaendayo mikoani kutoka Kituo Cha Mabasi Kahama mkoani humo. Akizungumza na madereva  na kutoa elimu ya usalama barabarani kwa abiria kamanda Magiligimba amesema magari…

April 23, 2021, 10:36 am

”Madiwani tungeni sheria ndogo ndogo za ujenzi holela” DC Kahama.

Madiwani wa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wameshauriwa kutunga sheria ndogo ndogo za ujenzi holela bila vibali kwa wananchi kupitia kwa mkurugenzi wa Manispaa hiyo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Annamringi Macha wakati wa Baraza…

April 21, 2021, 5:17 pm

Mwenyekiti wa kijiji halmashauri ya Ushetu asakwa na polisi kwa mauaji

Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linamsaka Mwenyekiti wa Kitongoji cha Ikindika Kata ya Ushetu Wilaya ya Kipolisi Ushetu, Andrew Adam kwa tuhuma za mauaji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba amesema tukio hilo lilitokea Aprili 18 saa…

April 21, 2021, 5:08 pm

Mchinjaji wa Nguruwe akamatwa na TAKUKURU Manispaa ya Kahama

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) wilayani Kahama imebaini uchinjaji wa mifugo kiholela ikiwemo iliyokufa hali ambayo inahatarisha afya za watumiaji wa nyama ambazo zinauzwa bila kufanyiwa uchunguzi na maafisa mifugo. Mkuu wa TAKUKURU, Abdallah Urari amesema walipokea…

April 21, 2021, 5:02 pm

TAKUKURU yasimamisha ujenzi jengo la X-RAY halmashauri ya Msalala

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) wilayani Kahama mkoani Shinyanga imezuia kuendelea ujenzi wa jengo la X-RAY kituo cha Afya Bugarama katika halmashauri ya Msalala kutokana na matofali yanayotumika kuwa chini ya kiwango. Mkuu wa TAKUKURU wilayani Kahama,…

April 20, 2021, 12:18 pm

Miundo mbinu ya barabara yawa changamoto kwa wananchi

Wananchi wa Mtaa wa Malunga Kata ya Malunga  iliyopo Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wanakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya barabara katika maeneo yao. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na HUHESO FM wananchi wa Mtaa huo wamesema changamoto ya miundombinu ya…

April 16, 2021, 3:26 pm

Wananchi wahofia Magonjwa ya mlipuko baada ya uchafu kukithiri mtaani.

Wananchi wa Mtaa wa Igembensabo Kata ya Malunga katika Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wameitaka kampuni ya uzoaji wa uchafu majumbani kufuata ratiba ya kuondoa uchafu huo ili kuepusha magonjwa ya milipuko  kwa kipindi hiki cha Mvua. Wito huo umetolewa…

April 12, 2021, 6:38 pm

Utamaduni wa ukeketaji wahatarisha maisha ya watoto wa kike Tarime.

Kituoa Cha ATFGM Masanga kilichopo wilayani Tarime Mkoani Mara kinasomesha zaidi ya watoto 100 katika shule mbalimbali waliokimbia kufanyiwa ukeketaji. Meneja Miradi wa ATFGM Masanga, Valerian Mgani amesema miongoni mwa watoto wanaowasomesha familia zao zimekataa kuwapokea kwa kukimbia kufanyiwa ukeketaji…