Huheso FM

Recent posts

May 25, 2021, 7:25 pm

Watakaofichua taarifa za ukatili wa kijinsia kulindwa

Imeelezwa vitendo vya rushwa katika jamii imekuwa miongoni mwa sababu inayochangia vitendo vya ukatili wa kijinsia kuendelea kutokea katika jamii na kupelekea waathirika wa matukio hayo kukosa haki. Mratibu Taifa wa mtandao wa Utetezi wa haki za Binadam- THRDC Onesmo…

May 18, 2021, 6:28 pm

Wafanyabiashara wamlalamikia Mkurugenzi Manispaa ya Kahama

Wafanyabiashara wanaozunguka eneo la kituo cha mabasi katika Kata ya Majengo iliyopo Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wamemlalamikia Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuyarudisha mabasi ya abiria katika kituo cha mabasi  iliyokuwa ikikarabatiwa ya CDT. Wakizungumza na waandishi wa habari wafanyabiashara hao…

May 18, 2021, 5:54 pm

Wananchi wamlalamikia mwenyekiti wa mtaa wao

Wananchi wa Mtaa wa Bulima Kata ya Seeke Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamemlalamikia mwenyekiti wa mtaa huo kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa wananchi hivyo wamemtaka kujiuzulu mara moja. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mtaani hapo wananchi hao…

May 13, 2021, 1:01 pm

Wilaya ya Kahama inakabiliwa na uhaba wa damu salama

Hospitali ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga inakabiliwa na uhaba wa damu salama huku wananchi wilayani humo wakiombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu. Hayo yamesema na mratibu wa damu salama hospitali ya Wilaya ya Kahama, God Abdallah amesema uhitaji wa damu…

May 7, 2021, 1:50 pm

Wazee Wilayani Kahama watakiwa kujiwekea akiba ya pesa

Wazee wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujiwekea akiba ya pesa ili bima inapoisha muda wake waweze kujilipia wao wenyewe pasipo kusubiri kila mwaka kulipiwa na wadau mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kahama, Yahaya Bundala na…

May 4, 2021, 3:42 pm

Wasio na taaluma ya Habari watajwa kuharibu tasnia hiyo Kahama.

Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Anamringi Macha amewataka waandishi wa habari kuhakikisha wanawaondoa waandishi wa habari wasiokuwa na taaluma hiyo ambao wamekuwa wakiharibu tasnia hiyo kwa kuandika habari za uongo. Mkuu huyo wa wilaya ametoa kauli hiyo wakati…

April 28, 2021, 5:33 pm

Wananchi walalamikia miundombinu mibovu ya barabara kwa kukwamisha shughuli zao.

Wananchi wa Mtaa  wa Inyanga Kata ya Nyihogo halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wameiomba serikali kuwatengenezea barabara ya kutoka Mhungula  kwenda mwime ambayo imeharibika kwa kiwango kikubwa na kuwa changamoto kwao. Wakizungumza wananchi  hao wamesema suala la miundombinu…

April 28, 2021, 2:18 pm

TBS yatoa mafunzo ya vifungashio kwa wajasirimali wa mchele Kahama

Wajasiliamali 100 ambao ni wasindikaji, wauzaji na wasambazaji wa Mchele Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamepatiwa mafunzo kuhusu kanuni bora za uzalishaji na taarifa za msingi zinazotakiwa kuwepo kwenye vifungashio na shirika la viwango nchini TBS. Mafunzo hayo yametolewa kwenye…