Sibuka FM

SIBUKA FM

26 April 2024, 10:30 am

RUWASA mkoani Simiyu yatakiwa kulipa wakandarasi kwa wakati

Wakala wa maji safi na usafi wa mazingira vijijini(RUWASA) mkoani Simiyu kuwalipa wakandarasi wanaotekeleza miradi mbalimbali kwa wakati ili kuondokana na kuisababishia serikali hasara itokanayo na ucheleweshaji wa malipo. Na,Daniel Manyanga Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa…

24 April 2024, 10:46 am

Maswa wanogesha muungano kwa kutoa madawati

Wakuu wa Idara Halmashauri ya Wilaya ya Maswa wamekabidhi Seti za Madawati Miatatu kwa ajili ya Shule za Msingi na Sekondari ili kupunguza Uhaba unaozikabiri shule hizo baada ya kujibana kwenye Bajeti za Matumizi ya Ofisi zao Na Nicholaus Machunda…

23 April 2024, 6:12 pm

Dc Maswa awashukia viongozi wazembe

Wananchi wakeleka na utendaji kazi wa wenyeviti wa vitongoji na vijiji kushindwa kuwasikiliza kero zinawakabili ambazo zipo kwenye uwezo wa viongozi hao hivyo kuondoa uaminifu kwao Na,Paul Yohana Mkuu wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Aswege Kaminyoge awewataka wenyeviti wa…

23 April 2024, 8:58 am

Homa ya mapafu yatishia usalama wa mifugo Maswa

Zoezi la uchanjaji wa mifugo wilayani Maswa mkoani Simiyu  kuwasaidia wafugaji kufanya ufugaji wenye tija na kuongeza thamani ya mifugo yao hivyo kuondokana na umasikini. Na,Paul Yohana Zaidi ya ng’ombe laki tatu wilayani Maswa mkoani Simiyu kupatiwa chanjo ya homa…

22 April 2024, 11:36 am

Maswa usalama wa mtoto siyo jukumu la walimu pekee

Usalama wa mtoto siyo jukumu la walimu wala mamlaka zinazohusika na maswala hayo wazazi ni nguzo muhimu sana katika kuyatengeneza maisha ya mtoto na kumwandalia misingi iliyo bora ili kuweza kukomesha vitendo vya ukatili dhidi yao. Na, Daniel Manyanga  Katika…

19 April 2024, 11:49 am

Samwel na Godi mikononi mwa Dc Maswa kwa kukwepa kulipa kodi

Lazima tuwe wakali kwa wafanyabiashara ambao wamekuwa wanaihujumu Serikali yetu ya Tanzania kwa kukwepa kulipa kodi pale wanapouza na kununua bidhaa na kushindwa kutoa listi za mashine zenye thamani sawa na bidhaa husika. Na, Daniel Manyanga  Mkuu wa wilaya ya…

17 April 2024, 10:49 am

DC Maswa ataka ushirikishwaji wa sekta binafsi kuleta maendeleo

Sekta binafsi ni mdau muhimu sana wa maendeleo katika kuwaletea maendeleo wananchi wetu, nendeni mkashirikiane nao, sikilizeni changamoto zao na kuzitatua. Na, Daniel Manyanga  Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Aswege Kaminyoge amezitaka sekta binafsi na sekta za umma…

16 April 2024, 7:32 pm

Itilima wakosa huduma ya maji safi na salama kwa wiki tatu

Watembea umbali wa kilomita 3 kufuata huduma ya maji safi na salama kufuatia mota ya kusukuma maji kuungua kijijini hapo. Na. Daniel Manyanga  Wananchi wa vijiji vya Mlimani na Zanzui vilivyopo  wilayani  Itilima mkoani Simiyu  wakosa huduma ya maji safi…

16 April 2024, 10:04 am

Mfumo wa stakabadhi ghalani kuwanufaisha wakulima Simiyu

  Na Nicholaus Machunda Wakulima Mkoani Simiyu wapata mwarobaini wa bei ya mazao baada ya kilio cha muda mrefu cha kukosa soko la uhakika Wananchi  Mkoani  Simiyu  Wameishukuru  Serikali  Kuruhusu  kuuza  Mazao  yao  ya  Nafaka  kupitia  Mfumo  wa  Stakabadhi  Ghalani …

10 April 2024, 6:00 pm

DC Maswa atangaza kiama kwa wakandarasi wazembe

Hatuwezi kuwa na wakandarasi wazembe namna hii ambao hawafanyi kazi kwa mujibu wa mkataba na hawajui ni adha gani ambayo wananchi wanaipata  nishauri serikali imfute mkandarasi na kampuni yake hiyo katika orodha ya Wakandarasi hapa nchini. Na ,Daniel Manyanga Mkuu…

4 April 2024, 3:02 pm

DC Maswa Atoa Siku 14 Watendaji Kukabidhiana Ofisi

Watendaji wote waliotajwa kula fedha za maendeleo zitokanazo na michango ya Wananchi ndani ya siku kumi na Nne warudishwe Ili kuja kujibu tuhuma na kufanya makabidhiano Mbele ya Serikali ya Kijiji. Na, Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani  Simiyu  Aswege Kaminyoge  ametoa siku…

3 April 2024, 10:20 am

DC KAMINYOGE ;  Wananchi  Jitokezeni   kwenye  Mikutano  ya  Hadhara

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Mhe,  Aswege  Enock  Kaminyoge  amewataka  Wananchi  wilaya  hapo  kujitokeza  kwa  Wingi  katika  Mikutano  ya   Hadhara  inayoitishwa  na  Viongozi  wao  wa  Vijiji  na  kata  ili  kutoa  kero  zao  na  changamoto  mbalimbali  zinazowakabiri. Mh  Kaminyoge …

28 March 2024, 10:19 am

LAAC yaipongeza Maswa kwa usimamizi mzuri wa miradi

Kamati  ya  Kudumu  ya  Bunge  ya  Hesabu  za  Serikali  za  Mitaa –  LAAC   imeipongeza  Halmashauri  ya  Wilaya  ya  Maswa  kwa  Usimamizi  Mzuri  wa  Fedha  za  Miradi  ya  Maendeleo zinazoletwa  Wilayani  hapo. Akitoa  Pongezi  hizo  mara  baada  ya  kutembelea  Jengo  la …

13 March 2024, 11:35 am

DC  Maswa  aagiza viongozi, watendaji  kusikiliza kero za wananchi

Mkuu  wa  Wilaya ya  Maswa  mkoa  wa  Simiyu  Mh  Aswege  Kaminyoge   ametoa  maagizo   kwa  watendaji na  viongozi  wengine  kusikiliza  kero za  za  wananchi  na kuzitafutia  ufumbuzi na  siyo  kusubiri viongozi  wa  ngazi  za  juu kuja  kusikiliza  kero  ambazo  zingetatuliwa na  viongozi …

13 March 2024, 10:44 am

Rais atoa zana za kilimo Maswa kuongeza uzalishaji wa pamba

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mh Aswege Kaminyoge   amemshukuru   Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zana za kilimo kwa wakulima wa kata  ya  Senani  ili kumsaidia  mkulima  katika  kuongeza  tija  katika  zao la pamba. DC Kaminyoge  ametoa  shukrani  hizo  wakati  wa  kuzindua zana…

10 March 2024, 8:38 am

Red Cross: Mwanamke ni nguzo muhimu kwa taifa

Chama cha msalaba mwekundu mkoani Simiyu kimesherekea siku ya Wanawake duniani kwa kufanya usafi katika hospitali ya wilaya ya Maswa katika kutambua na kuthamini mchango wa Wanawake katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo nchini. Na,Paul Yohana Katika kuenzi na kuthamini mchango…

1 March 2024, 8:07 pm

96 wahitimu mafunzo ya udereva Maswa

Jumla  ya  maafisa  usafirishaji 96  wamepatiwa  vyeti vya  udereva  na  leseni  za  uendeshaji  vyombo  vya  moto  ikiwemo  pikipiki  na  magari  madogo  baada  ya  kufuzu  mafunzo  ya  uendeshaji  wa  vyombo  hivyo. Akikadhi  vyeti  hivyo  na leseni , Mkuu  wa  Wilaya  ya …

1 March 2024, 5:03 pm

Wanawake jamii ya kihadzabe Meatu waomba msaada wa Rais Samia

Jamii ya kihadzabe  inayoishi pembezoni mwa pori la hifadhi Makao Wilayani Meatu Mkoani Simiyu yahofia kutoweka kutokana na mabadiliko ya tabia ya Nchi. Na,Alex Sayi Wanawake wa jamii ya kihadzabe wamuomba Rais Dkt,Samia kulinusuru kabila hilo ili lisiweze kutoweka kutokana…

28 February 2024, 11:15 am

DC Kaminyoge atoa ufafanuzi  changamoto ya sukari wilayani Maswa

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  Mh,  Aswege  Kaminyoge  ametoa ufafanuzi  kuhusu  Changamoto  ya  Kupanda  kwa  bei  ya  Sukari   na  kutoa  maelekezo  ya  Serikali  kuhusu  upatikanaji  wa  Bidhaa  hiyo. Kaminyoge  amesema  hayo  wakati  akizungumza  na  Wafanyabiashara  wa  Maswa na …