Sibuka FM

SIBUKA FM

10 May 2021, 5:42 pm

ZAIDI YA WATOTO LAKI NNE KUPATIWA KINGATIBA SIMIYU

Zaidi ya watoto 400,000 wenye umri wa kwenda shule watapatiwa kingatiba mkoani Simiyu lengo likiwa kuwakinga na magonjwa ya kichocho na minyoo tumbo. Hayo yamesemwa na mratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kutoka mkoa wa Simiyu Dkt Ntugwa Nyorobi wakati…

27 April 2021, 8:47 pm

MARA:UTALII WA NDANI WAONGEZA LICHA YA COVID-19

Idadi ya watalii wa ndani kutembelea na kujionea vivutio mbalimbali imeendelea kuongezeka mwaka hadi mwaka katiaka hifadhi ya taifa ya Serengeti iliyopo mkoani Mara licha uwepo wa changamoto wa janga la Covid-19 ambapo nchi mbalimbali ulimwengu zinakabiliana na janga hili.…

20 April 2021, 10:28 am

Zaidi ya Ng’ombe laki tatu kuchanjwa wilayani Maswa

Zaidi  ya   Ng’ombe  laki   tatu  wilayani  Maswa  mkoani  Simiyu   zinatarajiwa  kuchanjwa   ili  kudhibiti  Magonjwa  ya   Mifugo  ikiwemo  Ugonjwa  wa  Mapele  ya   ngozi  ili   kuboresha  bidhaa ya  ngozi  na  Ushindani  wa  Soko.. Akitoa  taarifa  kwa  Mkuu  wa  wilaya  ya  Maswa   Mh…

19 April 2021, 5:09 pm

Vifo vitokanavyo na Uzazi vyapungua Wilayani Maswa

Vifo  vitokanavyo  na  Uzazi  wilayani  Maswa  mkoani  Simiyu vimepungua  kutoka vifo  12  kwa  mwaka  2018  hadi  kufikia  vifo  3  kwa  mwaka  2020. Takwimu  hizo  zimetolewa  na  Mratibu  wa  Huduma  ya  Mama  ya  mtoto  kutoka  Hospitali  ya  wilaya ya  Maswa  Angella …

14 April 2021, 5:08 pm

WANNE WAFA MGODINI,MMOJA AKIJERUHIWA

Wachimbaji wadogo  wanne wa dhahabu wafariki dunia na mwingine kujeruhiwa baada ya kuporomoka kwa kuta wakati wakiendelea na uchimbaji wa dhahabu kwenye duara zao katika mgodi wa dhahabu na 2 uliopo Imalamate wilayani Busega mkoani Simiyu. Akizungumza na waandishi wa…

31 March 2021, 4:48 pm

Jeshi la polisi mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kupatikana na nyara za serikali. Haya yamesemwa   na kamanda wa jeshi hilo mkoani hapo ACP Richard Abwao wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari na kuongeza kuwa mtuhumiwa…

31 March 2021, 3:42 pm

RADI YAUA MTU MMOJA NA KUJERUHI MMOJA

Akizungumza na waandishi wa habari mkoani hapo kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu ,kamishina msaidizi wa polisi,Richard Abwa amesema kuwa tukio hilo limetokea  mnamo majira ya saa 01:00 usiku wa kuamkia tarehe 29.03.2021 huko katika kitongoji cha cha…

31 March 2021, 12:55 pm

Milioni 160 kununua Dira za maji Maswa

Zaidi  ya  shilingi  Milioni  160 zimetolewa  na  serikali  ya jamhuri  ya  muunga no  wa  tanzania  kwa   ajili  ya  ununuzi  wa  dira  za  maji  ili  kila  mtu  anayetumia   alipe  kwa  kadri  ya  matumizi  yake. Hayo  yamesema  na  mkuu  wa  wilaya   ya  …