Sibuka FM

SIBUKA FM

27 November 2021, 6:28 pm

Mkoa wa Simiyu wapunguza vifo vitokanavyo na Uzazi kwa Asilimia 50% …

Mkoa  wa  Simiyu  umefanikiwa  Kupunguza vifo  vitokanavyo  na  Uzazi  kwa  Asilimia   50%   kwa  Robo  ya  mwezi   Julai,  August  na  mwezi  Septemba 2021  huku   Upatikanaji  wa  Dawa   Ukiongezeka  kutoka  Asilimia  70%  hadi  kufikia  Asilimia  90%. Hayo  yamesemwa  na   Mkuu wa  mkoa …

6 November 2021, 4:58 pm

TANROAD simamieni kwa ukaribu ujenzi wa miundombinu ya barabara

Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemtaka wakala wa barabara TANROAD mkoani hapo kusimamia kwa ukaribu utekelezaji wa miradi  mbalimbali ya ujenzi wa barabara ili kubaini mapungufu mapema na kuepusha gharama zaidi za ukarabati.…

27 October 2021, 2:51 pm

walimu wilaya ya itilima waomba kutatuliwa changamoto zao.

Na mwandishi wetu Daniel Manyanga ,Simiyu Walimu wilayani Itilima mkoani Simiyu wameiomba serikali kuona umuhimu wa kutatua changamoto zao  ili kuongeza hali ya utedaji kazi. Wameyasema hayo kwenye semina ya kuwajengea uwezo kwenye  majukumu yao viongozi na wawakilishi wa shule…

19 October 2021, 3:38 pm

watu watatu wajeruhiwa na chui

Watu watatu wakazi wa Kijiji Mwabulimbu kata ya Mwan’gonoli tarafa ya Sengerema wilayani Maswa mkoani Simiyu wamejeruhiwa na mnyama aina ya chui sehemu mbalimbali za miili yao. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoa wa Simiyu ACP Blasius…

8 October 2021, 7:15 pm

NMB yatoa Msaada wa vifaa vya ujenzi Shule za Msingi na Sekondari …

Benki  ya  NMB   imekabidhi  vifaa  vya  Ujenzi  kwa  Shule  za  Msingi  na  Sekondari  Wilayani  Maswa   Mkoani  Simiyu  vyenye  thamani  ya  Shilingi  Milioni  Ishirini  na  Nne.. Akikabidhi  vifaa  hivyo mbele  ya  Mkuu  wa Wilaya  ya  Maswa Mh   Aswege  Kaminyoge ,  Meneja  …

1 October 2021, 1:31 pm

afariki dunia baada ya kudondokewa na matofali ya udongo

Mtoto wa miaka 03 Agnes Charles Masanja mkazi wa Kijiji cha Mwanzangamba kata ya Mwanyahima wilaya ya Meatu mkoani Simiyu amefariki dunia baada ya kudondokewa na matofali ya udongo katika nyumba yao. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi…

26 September 2021, 11:15 am

Asilimia 40% ya vifo vya Watoto nchini vinatokana na watoto kuzaliwa…

Imeelezwa  kuwa  asilimia  Arobaini  ya  vifo  vya  Watoto  nchini  vinatokana   na  watoto  kuzaliwa  kabla   ya  siku  zao   (Njiti). Hayo  yamesemwa  na  Mwenyekiti  wa  Kamati  ya  Kudumu   ya  Bunge  ya  Huduma  na  maendeleo  ya  Jamii  na  Mbunge  wa  Jimbo  la  Maswa …

17 September 2021, 4:56 pm

RC Kafulila; Bei ya Pamba yavunja rekodi Msimu wa 2020/2021.

Mkuu wa  mkoa  wa  Simiyu  Mh,  Davidi  Zacharia  Kafulila  amesema  kuwa  bei  ya  Pamba  kwa  mwaka  huu  wa  2021  imevunja   rekodi  ya   zaidi  ya  miaka Ishirini  iliyopita  kutokana  na  Usimamizi  Bora wa mifumo  ya  ununuzi  wa   zao  la  Pamba.. Mh …

9 September 2021, 1:20 pm

Mtoto afariki baada ya kujeruhiwa na Fisi-Maswa.

Mtoto mwenye umri wa miaka 5 anayejulikana  kwa  jina  la  Masule. S. Cosmas mkazi wa kijiji cha  zawa   kata  ya  mwanghonori wilayani  Maswa  Mkoani Simiyu   amefariki baada ya kujeruhiwa na  fisi  sehemu mbalimbali za mwili wake. Tukio hilo limetokea  Siku…

28 August 2021, 8:36 pm

TARURA Maswa Kuboresha Barabara zote za Kiuchumi

Meneja  wa  Wakala  wa  Barabara  za Vijijini  na  Mjini  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  Mhandisi  David  Msechu  amewaomba  Madiwani  Kushirikiana  na  kamati za  maendeleo  za  kata  ili  kulinda  Miundo  mbinu  ya  Barabara  zinazojengwa  ili zidumu  zaidi.. Hayo  ameyasema  katika  kikao  cha …