Sibuka FM

SIBUKA FM

1 March 2024, 5:03 pm

Wanawake jamii ya kihadzabe Meatu waomba msaada wa Rais Samia

Jamii ya kihadzabe  inayoishi pembezoni mwa pori la hifadhi Makao Wilayani Meatu Mkoani Simiyu yahofia kutoweka kutokana na mabadiliko ya tabia ya Nchi. Na,Alex Sayi Wanawake wa jamii ya kihadzabe wamuomba Rais Dkt,Samia kulinusuru kabila hilo ili lisiweze kutoweka kutokana…

25 February 2024, 6:29 pm

Takukuru Simiyu yaokoa zaidi ya shilingi milioni 70

Na Nicholaus Machunda Taasisi  ya  Kuzuia  na  Kupambana  na  Rushwa  mkoa  wa  Simiyu  imefanikiwa  kuokoa  fedha   zaidi  ya shilingi  milioni sabini  zilizotaka  kufanyiwa  ubadhirifu  katika  Chuo cha  Maafisa  Tabibu  wilayani  Maswa. Akitoa  taarifa  kwa  waandishi  wa  habari, Naibu Mkuu wa  Takukuru  mkoani …

25 February 2024, 6:14 pm

CHADEMA Simiyu yajipanga kuingia  kwa  kishindo uchaguzi serikali za mita…

Chama cha  Demokrasia  na  Maendeleo   Chadema  Mkoa  wa  Simiyu  kimesema  kuwa  kimejipanga  kuingia  kwa  kishindo  katika  uchaguzi  wa  serikali  za  mitaa utaofanyika  mwishoni  mwa  mwaka  huu  wa  2024. Kauli  hiyo  imetolewa  na  Mwenyekiti  wa  Chama  hicho  Mkoa  wa  Simiyu   Musa …

7 February 2024, 1:56 pm

DC Maswa atahadharisha wanaotorosha  mazao ya nafaka

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  mkoa  wa  Simiyu  Mhe  Aswege  Kaminyoge  amewatahadharisha  Wafanyabiashara  wa  Mazao ya  Nafaka utoroshaji  na  kukwepa  kulipa  Ushuru  wa  Mazao  hayo. Mhe  Kaminyoge  amesema  hayo  katika  kikao  cha  Wadau  wa Kilimo  na  Mazao  Mchanganyiko  kilichofanyika  Katika  ukumbi  wa …

25 February 2022, 12:30 pm

Katibu  Tawala  Wilaya  ya   Maswa  awaasa    viongozi  kuwatumikia …

Katibu   Tawala  wilaya  ya  Maswa  Agnes  Alex  amewataka  viongozi  waliopewa   Dhamana  ya  Kuwatumikia  wananchi     wanawatumikia  kikamilifu  ili  kukidhi  matarajio  yao. Katibu  Tawala    ameyasema  hayo  wakati  wa  Uzindunduzi  wa   Kikao  cha  Uraghbidhi  kilichofanyika  Februari  22, katika  Ukumbi  wa  Halmashauri  ya  Maswa …

22 February 2022, 6:02 pm

Taasisi  ya  TWAWEZA  yatoa  Mafunzo   Kwa  Waraghabishi  Wilayani  Mas…

Jumla  ya  Waraghabishi  Thelathini  na  sita (36)  kutoka  kata  18  za  wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  wamepewa  Mafunzo  ya  kuwawezesha  kuibua   changamoto  na  Vipaumbele  vya  Maendeleo  kwenye   maeneo  ya  vijiji  vyao. Akizungumza  na  Sibuka  Fm   Meneja  Programu  kutoka  Shrika  la …

30 January 2022, 2:59 pm

kata saba wilayani bariadi kuunganishwa na miundombinu ya barabara

Na mwandishi wetu Daniel Manyanga,Simiyu Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Bariadi wameshauri  kuunganishwa kwa kata saba kwa njia ya barabara ili kuwapunguzia adha wananchi kutumia muda mrefu kufika makao makuu halmashauri hiyo yaliyopo Dutwa.Wameyasema hayo wakati wakipokea taarifa kwenye…

29 December 2021, 11:50 am

WILAYA YA MASWA YATAJWA KUONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI …

Imeelezwa  kuwa  wilaya  ya  maswa  inaongoza  kwa  maambukizi  ya Virusi  ya  Ukimwi (VVU)   Ikifuatiwa  na  Wilaya  Busega  katika  mkoa   wa  Simiyu. Hayo  yameelezwa  na  Mratibbu  wa  Ukimwi  mkoa  wa  Simiyu   Dr  Hamis   Kulemba  wakati   akizungumza  na  Radio   Sibuka.            Dr …