Radio Fadhila
Radio Fadhila
29 May 2023, 09:32
MASASI. Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na michezo Sports Development Aid SDA, limeunga mkono juhudu za serikali za kuhakikisha jamii inajengewa uwezo wa kuwa na afya njema kwa kugawa vifaa vya michezo kwa shule za msingi na sekondari za halmsahuri…
17 April 2023, 21:15
NANYUMBU Tanzania Commercial BankTawi la Wilaya ya Masasi Mjini leo imetoa msaada wa viti ,menza na kabati za kutunzia vifaa katika maktaba ya shule ya sekondari nangomba kama ilivyo sesturi waliojiwekea kama bank kurudisha faida kwenye jamii walicho vuna, mradi…
11 April 2023, 20:46
makabidhiano ya Mwenge wa uhuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Ndg Elias Ntiruhungwa. Ukiwa Halmashauri ya Mji Mwenge wa Uhuru utakimbizwa Kilometa 81 na utapita katika Miradi 5…
29 March 2023, 10:13
Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi inayosababisha jamii za wafugaji kuhamahama kutafuta malisho kumechangia kwa kiasi kikubwa kupelekea jamii kukosa kupata baadhi ya huduma za kijamii Hayo yamesema na baadhi ya Jamii ya wafugaji ambao wanafanya shughuli zao za ufugaji…
9 March 2023, 11:04
Picha na Lilian Martin Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani umoja wa Majeshi wilayani Masasi kupitia mtandao wa Askari wanawake wameadhimisha siku ya wanawake Duniani Kwa kuwa pamoja na watoto wenye mtindio wa ubongo na usonji katika shule ya…
3 March 2023, 21:43
katika siku ya maadhimisho ya week ya elimu Kwa Halmashauri ya mji Masasi yaliyohudhuriwa na wanafunzi wa shule za msingi na secondary zilizopo katika halmashauri hiyo pichani ni wanafunzi wakionyesha burudani. sambamba na hayo katika maadhimisho hayo yaliyohudhuriwa na Mh…
17 February 2023, 11:00
Masasi Kamati ya Usalama Barabarani kitengo cha elimu, mafunzo na uenezi kwa umma kimeendelea kutoa elimu katika makundi mbalimbali ya Wilaya hiyo, ambapo mapema wiki hii imetoa elimu Shule ya Msingi migongo Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Akizungumza katika kutoa elimu…
17 February 2023, 10:42
Mkuu wa Wilaya ya masasi LAUTERI KANONI ameiyomba jamii ya Masasi imuunge mkona katika mikakati yake ya kuboresha elimu Wilayani humo kwani amekuja na mpango wa kuakikisha kila Shule ya Sekondari ya Kata inajengwa Hosteli ili kuwafanya Wanafunzi waweze kusoma…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara