Recent posts
31 August 2024, 7:21 pm
Ajali yauwa wanne Manyara
Wanafunzi watatu na dereva mmoja wamefariki katika ajali iliyotokea wilayani Babati mkoani Manyara. Na Mzidalfa Zaid Watu wanne wamepoteza maisha wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha Coaster na gari la mizigo aina ya Scania katika eneo la…
31 August 2024, 7:16 pm
Jeshi latoa tuzo Kwa bilionea Mulokozi
Taasisi ya kijeshi ya command and staff college imetoa tuzo kwa Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mati super brands ltd David Mulokozi kutokana mchango mkubwa aliounyesha katika taasisi hiyo. Na Mzidalfa Zaid Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mati super brands…
26 August 2024, 7:45 pm
Zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu kufanyika Manyara
Tume huru ya taifa ya uchaguzi imewataka wadau mbali kuhamasisha jamii kujiandikisha kwenye daftri la kudumu la mpiga kura. Na Mzidalfa Zaid Wadau wa uchaguzi wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura mkoani Manyara wametakiwa kuielimisha jamii kuacha…
23 August 2024, 5:53 pm
Wakulima watakiwa kuuza mazao stakabadhi ghalani
Wakulima mkoani Manyara wametakiwa kuacha tabia ya kuuza mazao kwa walanguzi. Na Mzidalfa Zaid Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kujiunga na kusajiliwa kwenye vyama vya ushirika ili kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na vyama hivyo ili wafanye kazi zao za kuuza…
22 August 2024, 4:37 pm
Mwigulu asema serikali inaboresha mazingira bora ya elimu
Waziri wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo cha uhasibu Arusha kamapasi ya Babati Na Mzidalfa Zaid Waziri wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba amesema uwepo wa chuo cha uhasibu Arusha kampasi ya…
21 August 2024, 5:49 pm
Mita za maji kuhakikiwa Manyara
Wakala wa vipimo mkoa wa Manyara wanatarajia kuanza msako wa kukagua mita za maji ili kubaini kama zinafanya kazi vizuri. Na Mzidalfa Zaid Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutoa taarifa kwenye ofisi ya wakala wa vipimo ili zihakikiwe kama ziko sahihi…
20 August 2024, 4:29 pm
Madhara yatokanayo na matumizi ya dawa za kulevya yatajwa
Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya Kanda ya Kaskazini yawataka vijana kuacha kutumia dawa za kulevya . Na Mzidalfa Zaid Vijana mkoani Manyara na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla, wametakiwa kuacha kutumia dawa za kulevya kwa kuwa…
9 August 2024, 6:11 pm
DC Twange: Kiwanda cha Dachkona kimeongeza ajira kwa vijana
Kutokana na changamoto za ajira kwa vijana nchini, kiwanda cha Dachkona Company Ltd kinachotengeneza vinywaji mkoani Manyara kimeisaidia serikali kupunguza changamoto ya vijana kuzagaa mtaani bila ajira. Mkuu wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara Lazaro Jacobo Twange, amekipongeza kiwanda cha…
9 August 2024, 6:02 pm
Klabu ya waandishi wa habari Manyara yapongezwa
Baada ya balozi Sharlotta Ozaki Mercias kutembelea klabu mbalimbali na za waandishi wa habari katika mikoa tofauti, amesema mkoa wa Manyara umekuwa mfano mzuri kutokana na ushirikiano uliopo baina ya waandishi wa habari na jeshi la polisi. Na Mzidalfa Zaid…
6 August 2024, 6:51 pm
     Wafanyabiashara Manyara watakiwa kutumia  EFD mashine
Imeelezwa kuwa lengo la kuanzishwa kwa mfumo  wa mashine za kieletroniki (EDF) mashine ni pamoja na kumrahisishia mfanyabiashara utunzaji wa kumbukumbu za biashara kwasiku  Na marino kawishe Wafanyabiashara mkoani Manyara wametakiwa kuendelea  kutumia mashine za Kieletroniki(EFD)kwenye biashara zao ili kuondoa…