Recent posts
19 November 2024, 3:47 pm
Takukuru Manyara yawataka wananchi kutorubuniwa
Katika kipindi hiki cha uchaguzi, Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU)mkoa wa Manyara imewataka wananchi na wadau wote wa uchaguzi, kuchagua viongozi waadilifu. Na Mzidalfa Zaid Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU)mkoa wa Manyara imewataka wananchi…
18 November 2024, 9:00 pm
Manyara kuanzisha kliniki ya madaktari bingwa
Mkoa wa Manyara unatarajia kuzindua zoezi la utoaji Huduma za kliniki maalamu za Madaktari Bingwa wa Ndani ya Mkoa Wa Manyara Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga amesema mkoa wa Manyara umeanzisha kliniki ya kwanza ya…
7 November 2024, 6:36 pm
Mageuzi yafanyika sekta ya kilimo Manyara
Serikali imetoa zaidi ya shilling trillioni moja ili kuboresha sekta ya kilimo nakumpunguzia mkulima gharama katika kilimo kwa kupata ruzuku ya mbegu za mahindi Na Angel Munuo Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amewataka waingizaji,wauzaji wasambazaji na mawakala wa mbegu za mahindi…
4 November 2024, 4:59 pm
Sendiga aikabidhi hekari 8 taasisi ya Mwinyi Baraka Islamic FoundationÂ
Baada ya mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga kuikabidhi hekari 8 Taasisi ya Mwinyi Baraka Foundatin amesema uwekezaji huo utaisaidia kuwainua vijana kwa kujifunza shughuli mbalimbali pamoja na kujiajiri kufuatia kuwepo kwa changamoto ya ajira kwa vijana wengi Na…
29 October 2024, 7:33 pm
Wafanyabiashara Manyara watakiwa kuhakiki bidhaa zao TBS
Wafanyabiashara ambao ni wazalishaji wa bidhaa mkoani Manyara wametakiwa kuhakikisha wanakuwa na leseni ya TBS kabla ya kusambaza bidhaa hizo kwa watumiaji ili zihakikiwe ubora. Na Mzidalfa Zaid Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya kaskazini limewataka wananchi mkoani Manyara …
28 October 2024, 6:25 pm
TIRA yawafikia wafugaji Manyara
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania(TIRA)kanda ya kati imewashauri Wafugaji mkoani Manyara kukata bima ili kujikinga na majanga yanapotokea. Na Mzidalfa Zaid Wafugaji mkoani Manyara wameshauriwa kukata bima ili kujikinga na majanga yanapotokea ikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa ,mafuriko,…
25 October 2024, 8:48 pm
TRA Manyara yavuka lengo la ukusanyaji kodi
Mamlaka ya mapato TanzaniaTRA mkoa wa Manyara Kwa mwaka 2023,2024 wamefanikiwa kuvuka lengo kwa kukusanya kodi kwa asilimia miamoja na kumi na moja na hii imetokana na baada ya kuwafikia watu kwa kutoa elimu . Na Mzidalfa Zaid Mamlaka ya…
24 October 2024, 6:45 pm
TIRA yawahimiza wananchi kukata bima kujikinga na majangaÂ
Mamalaka ya usimamizi wa Bima Tanzania(TIRA)kanda ya kati, imewataka wananchi kukata bima kujikinga na majanga ili iwasaidie wanapokutana na majanga ya dharura. Na Mzidalfa Zaid Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutembelea banda la Mamlaka ya usimamizi wa Bima (TIRA lililopo katika…
24 October 2024, 1:42 pm
Kigahe awataka wanyabiashara kuwa na nembo zinazo watambulisha
Naibu waziri wa viwanda na biashara Exaud Kigahe amefungua rasmi leo maonyesho ya wanyabiashara Tanzanate Manyara Trade Fear katika viwanja vya stendi ya zamani wilayani Babati mkoani Manyara nakuwataka wafanyabiashara kuwa na nembo zinazo watambilisha Na Angel Munuo Maonyesho ya…
22 October 2024, 6:31 pm
Wananchi tunzeni wanyama pori
Serikali yasema imeweka mazingira yakuvutia wageni kupitia filamu ya royal tour ambapo watalii wameongezeka hasa mkoani Manyara nakuleta fedha nyingi za kigeni ambazo zinanufaisha vijiji hivyo. Na Marino Kawishe Wananchi waishio karibu na hifadhi za taifa za Manyara na Tarangire…