FM Manyara

KINNAPA yaitaka jamii kuwapeleka shule watoto waliokatiza masomo

2 July 2025, 4:05 pm

Picha ya baadhi ya viongozi wa Shirika la KINNAPA wakitoa elimu kwa wanahabari

Jamii mkoani Manyara imetakiwa kuwarudisha shule wanafunzi  wa kike ambao walikatiza masomo yao kwa sababu mbali mbali ikiwemo ujazito, ndoa za utotoni au sababu nyingine ambazo zilipelekea wanafunzi hao kukatisha masomo yao.

Na Mzidalfa Zaid

sauti ya makala fupi