Radio Fadhila
Radio Fadhila
1 July 2024, 08:29
Mkutano wa wanyeviti kata ya nyasa Katika mkutano wa wenyeviti wa kata ya Nyasa uliofanyika eneo la Maendeleo kwa lengo la kuwaaga wananchi wao katika kata ya Nyasa wilayani Masasi. Taasisi ya Upendo Charity ilipata nafasi ya kutoa elimu kwa…
22 June 2024, 17:47
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Lautel John Kanoni ameongoza kikao cha dharura kilichowakutanisha vyombo vya ulinzi na usalama wilaya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Afya Halmashauri ya Wilaya Masasi na kujadiliana kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa kuharisha na kutapika…
22 June 2024, 17:25
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mtwara DAVID MOLEN amesema katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu ni vizuri Wananchi wenye sifa ikiwemo uzalendo kujitokeza na kugombea nafasi hizo. Molen ametoa hamasa hiyo wakati akifanyiwa mahojino…
21 June 2024, 21:18
Mhe Kanali Patrick Sawala alizungumza Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mhe: Kanali Patrick Kenan Sawala amezungumza na viongozi wa vyama vya ushirika katika jukwaa la maendeleo ya ushirika yaliyofanyika 20/06/2024 katika ukumbi wa Police mess Mtwara. Lengo la jukwaa hilo…
6 June 2024, 19:49
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ndg. Godfrey Eliakimu Mnzava amezindua miradi mitatu (3) na kuweka mawe ya msingi katika miradi miwili (2), kukagua na kuona miradi miwili (2) Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara. Mbio za Mwenge…
6 June 2024, 19:27
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kitaifa 2024 Ndg. Godfrey Eliakimu Mzava amekipongeza kikundi cha vijana cha Tuinuane kilichopo katika kijiji cha Mandiwa ambacho kinajihusisha na ufugaji wa ng’ombe na uuzaji wa maziwa kwa kutoka kukaa tu mitaani na…
22 May 2024, 13:34
Wajumbe wapya wa bodi, mameneja, wajumbe wawakilishi pamoja na makarani wapya wa vyama vya msingi wakipatiwa mafunzo na kujengewa uwezo katika kazi na kukumbushwa majukumu yao. Na Lilian Martin Pamoja na kukumbusha juu ya majukumu yao katika kazi walipata nafasi…
20 May 2024, 22:02
Mkaguzi wa Polisi ametoa elimu ya polisi jamii kwa waendesha pikipiki yaani bodaboda katika kata ya Napupa mtaa wa Wapiwapi eneo la standi ya mabasi wilaya ya Masasi mkoani Mtwara. Elimu iliyotolewa na mkaguzi huyo Inspekta Saada katika eneo hilo…
10 May 2024, 17:30
Mbunge wa Jimbo la Masasi mjini,Geofrey Mwambe (CCM) ametoa vifaa tiba katika kituo cha Afya cha kata ya Mtandi halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara ili kuweza kuhimarisha upatikanaji wa huduma bora ya afya kwa wananchi wa kata hiyo, vifaa…
3 May 2024, 19:42
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Masasi chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Hashim Namtumba April 30, 2024 limepokea, kujadili na kupitisha taarifa za kata robo ya tatu, 2023/2024 katika mkutano wa Baraza la Madiwani Baraza hilo limepokea, kujadili na kupitisha…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara