Recent posts
28 June 2024, 4:51 pm
Jamii Manyara yatakiwa kupinga vitendo vya kikatili
Ili kupunguza vitendo vya kikatili vinavyoendelea nchini, wazazi mkoani Manyara wametakiwa kuwalea watoto wao na kuwapa malezi bora yatayowakinga na ukatili unaofanyika katika familia na mitandao. Na Angel Munuo Wazazi na walezi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kuwalea watoto wao…
25 June 2024, 4:06 pm
Wajasiriamali tumieni masoko Kimataifa
kutokana na Soko la ndani kuwa huru wanawake wajasiriamali mkoani Manyara wametakiwa kuzingatia ubora wa bidhaa wanazo zalisha Ili kuendeleza masoko ya ndani na nje ya nchi ili kuwainua kiuchumi kutokana na fursa zilizopo. Na Angela Munuo Wanawake wajasiriamali wilayani…
25 June 2024, 1:29 pm
Manyara yatajwa kuwa na asilimia 32 ya udumavu
Licha ya mkoa wa Mnyara kuwa na uzalishaji mkubwa wa vyakula mbali mbali hali ya udumavu imeonekana kuwa juu hasa katika maeneo ya kata ya Bashay iliyopo wilaya mbulu vijijini Na Marino Kawishe Mkoa wa Manyara umetajwa kuwa na silimia…
20 June 2024, 8:45 pm
Kamanda Katabazi azindua daraja la Mapea
Changamoto ya muda mrefu iliyokuwa inawakabili wakazi wa kijiji cha Matufa kwa kukosa daraja na wananchi kushindwa kupita katika eneo hilo ambalo lilikuwa linatumika kufanyia vitendo vya uhalifu limetatuliwa. Na Angel Munuo Kamanda wa polisi mkoani Manyara Geogre Katabazi amezindua…
19 June 2024, 6:51 pm
Wanahabari Manyara wanolewa mradi bomba la mafuta
Ili kutekeleza mradi wa bomba la mafuta hoima Uganda hadi jiji Tanga na mkoa wa Manyara waandishi wa habari mkoani Manyara watakiwa kuendlea kutoa elimu kwa jamii kuhusu mradi huo na manufaa yake. Na Geogre Augustino Zaidi ya asilimia 99…
18 June 2024, 7:25 pm
Ubakaji, ulawiti vyashamiri Manyara
Katika kukomesha vitendo vya ukatili kwa watoto mkoani Manyara jamii yatakiwa kuwapa elimu watoto wao kwakua kufanya hivyo kutawasaidia watoto hao kupambanana na kila aina ya ukatili. Na Marino Kawishe Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji Babati imetoa…
18 June 2024, 6:47 pm
Wananchi Manyara watakiwa kudumisha amani, kuliombea taifa
Wakati wa umini wa dini ya kiislam Mkoani Manyara wakisherekea sikukuu ya E al-adha Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Manyara amewataka kusheherekea sikukuu hiyo kwa kudumisha amani iliyopo nchini bila kuvunja sheria ya nchi na kuliombea taifa. Na Hawa Rashid…
15 June 2024, 5:09 pm
Binti wa kazi za ndani anusurika kifo Manyara
Wakati dunia ikielekea kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika Juni 16, 2024, binti wa miaka 15 mkoani Manyara amepigwa na mwajiri wake wakishirikiana na baba mwenye nyumba maeneo mbalimbali ya mwili ikiwemo kichwani na miguuni kwa kutumia kisu, nondo na…
13 June 2024, 5:07 pm
Maadhimisho ya damu salama kitaifa kufanyika Manyara
Zoezi la uchangiaji limeanza juni 1 2024 kwakuweka kambi katika maeneo mbali mbali ya mkoa wa Manyara na wananchi kuchangia damu pamoja na utoaji wa elimu ambapo kilele chake kitafanyika june 14 katika ukumbi wa CCM mkoa mkoani Manyara Na…
13 June 2024, 4:47 pm
Wakulima mkoani Manyara watakiwa kuuza Mazao kwa kutumia Mizani
Wakala wa vipimo mkoa wa Manyara unajukumu la kumlinda mlaji kwa kupima mizani zote za wafanyabiashara ili mkulima auze mazao yake na kupata fedha kulingana na thamani ya mazao yake aliyolima Na George Augustino Wakulima mkoani Manyara wametakiwa kuuza mazao mbali…