Recent posts
4 December 2025, 2:13 pm
Halmashauri ya mji wa Babati yatoa tuzo kwa shule zilizofanya vizuri
Halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara imetoa tuzo na zawadi kwa walimu na shule zilizofanya vizuri katika ufaulu wa masomo . Na Angel Munua Hafla hiyo imefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa ikiwa na lengo la kutoa hamasa kwa…
3 December 2025, 5:47 pm
RC Sendiga kutembelea kata 142 Manyara
Mkuu wa mkoa wa manyara, Queen Sendiga, anatarajia kuanza ziara yake ya kusikiliza kero za wananchi pamoja na kutemblea miradi mbalimbali na ziara hiyo itafanyika chini ya kampeni maalum iitwayo “tunavua buti ama hatuvui, tukutane saiti”, ikiwa ni muendelezo wa…
2 December 2025, 8:36 pm
Madiwani Babati mji watakiwa kusimamia sheria
Madiwani kutoka kata za halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara wameapishwa rasmi leo kuanza kutekeleza majukumu yao pamoja na kufanyika uchaguzi wa kumchangua mwenyekiti na makamu mwenyekiti wa Baraza la madiwani halmashauri ya mji wa Babati. Na Mzidalfa Zaid…
28 November 2025, 10:12 pm
Mwabulambo awataka wananchi kushiriki zoezi la usafi
Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kushiriki zoezi la usafi katika maeneo yanayowazunguka kama ulivyo utaratibu wa kufanya usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi hapa nchini. Na Mzidalfa Zaid Afisa afya mkoa wa Manyara Suten Mwabulambo, amesema halmashauri zote mkoani humo…
28 November 2025, 2:02 pm
Wakulima Manyara washauriwa kulima kilimo cha kisasa
Wakulima mkoani Manyara wametakiwa kulima kilimo cha kisasa kwa kutumia mbegu na viuatilifu bora pamoja na kuzingatia ushauri unaotolewa na wataalamu wa kilimo katika maeneo yao. Na Mzidalfa Zaid Wito huo Umetolewa na mwakilishi wa mkurugenzi wa halmashauri ya mji…
27 November 2025, 4:31 pm
TGNP yazinoa kamati za viongozi MTAKUWWA
Mtandao wa jinsia tanzania (TGNP) imetoa mafunzo kwa kamati za viongozi ngazi ya vijiji na kata Na Marino Kawishe Mtandao wa jinsia tanzania (TGNP) umeendesha mafunzo yakuwajengea uwezo viongozi warakibishi waliopo kwenye kamati za mpango wa taifa wakutokomeza ukatili dhidi…
26 November 2025, 9:12 pm
Dkt. Florence akagua majengo ya afya hospital ya mkoa Manyara
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Florence George amekagua ujenzi wa jengo ya damu salama, jengo la wagonjwa mahututi na jengo la wagonjwa wa dharura katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara. Na Mzidalfa Zaid Akizungumza baada ya ukaguzi wa…
26 November 2025, 12:52 pm
Tanesco Manyara kuweka Mita Janja
Shirika la Umeme Tanzania Tanesco mkoa wa Manyara limeanza zoezi la kubadilisha Mita za umeme kwa kuondoa mita za zamani na kufunga mita janja (Smart Meters ) mita ambazo zitawezesha wateja pindi wanaponunua umeme kuingia moja kwa moja . Na…
26 November 2025, 12:24 pm
MVIWATA-jitokezeni changamoto za ukatili wa kijinsia Manyara
Kuelekea siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, wakulima wadogo Mkoa wa Manyara wametakiwa kujitokeza katika Madawati ya kisheria ili kupeleka changamoto za ukatili wanazo kutananazo. Na Emmy Peter Hayo yamesemwa leo na Mhandisi Agrey Mahole ambae amemuwakilisha mkuu wa…
22 November 2025, 10:47 am
KAKUTE Project yawapatia majiko banifu na Sola Wananchi zaidi ya 500
Shirika lisilo la kiserikali la kakute Project kwa kushirikiana na shirika la maasai stove wamewafikia wananchi zaidi ya 500 kwa kuwapatia majiko banifu, sola na elimu ya mjasiriamali katika wilaya za Monduli na Babati Na Diana Dionis Afisa mradi wa…