FM Manyara
FM Manyara
27 September 2025, 8:52 pm

Leo ikiwa ni siku ya utalii duniani ambayo huadhimishwa September 27 kila mwaka , jamii imetakiwa kuweka utaratibu wa kutembelea vivutio vinavyopatikana katika hifadhi zinazopatikana Kanda ya kaskazini.
Na Mzidalfa Zaid
FM Manyara Radio imekuandalia makala fupi inayozungumzia siku ya utalii duniani ambapo imezungumza na wataalamu kutokaTAWA Kanda ya Kaskazini, TAWA Mfumo Ikolojia Simanjiro Lolkisale,Burunge WMA na Randilen WMA.
Karibu usikilize makala fupi.