FM Manyara
FM Manyara
29 August 2025, 6:28 pm

Vyombo vya habari vimekuwa msaada mkubwa wa kuisadia jamii kwa kuibua na kufikisha ujumbe kwa mhusika, ambapo katika kipindi hiki cha kulekea uchaguzi mkuu, tumejionea namna ambavyo vyombo vya habari vimeonesha mchango mkubwa kwa wanawake wanaowania nafasi mbali mbali za uongozi.
Karibu usikilize makala maalum iliyoandaliwa na Mzidalfa Zaid kwa kushirikiana na Hawa Rashid