FM Manyara

Makala: Umuhimu wa Bima ya afya kwa wananchi wote

8 December 2023, 6:38 am

Picha ya Bima ya afya na Habari Leo

Wakati wananchi nchi wakilalamikia kutopata huduma nzuri za matibabu na kukosekana kwa dawa wanapokwenda kupata huduma za afya katika hospitali mbali mbali serekali imewataka kuwa na bima za afya..

Na Mzidalifa Zaid

Serikaili imehimiza wananchi wote nchini kutumia bima za afya baada ya bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania kupitisha muswada wa bima ya afya kwa wote.

Karibu katika makala inayohusu umuhimu wa kuwa na bima ya afya kwa wananchi wote ambayo itawasaidi wananchi kupata matibabu kwa urahisi.

Kusikiliza makala hii bonyeza hapa