Recent posts
1 May 2026, 8:52 pm
RC Sirro aonya uzembe, ataka haki iendane na uwajibikaji
Sekta za umma na binafsi kuhakikisha haki na stahiki za wafanyakazi zinatekelezwa kwa wakati bila ubaguzi. Na. Abdunuru Shafii Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yamefanyika kimkoa katika Wilaya ya Uvinza, mkoani Kigoma, ambapo viongozi wa serikali, vyama vya wafanyakazi…
1 May 2026, 1:17 am
Rasmi waziri katambi afunga kambi ya nduta kibondo
Katambi amewataka watanzania kutathmini athari za maisha ya ukimbizi jambo litakalowafanya waendelee kulinda amani ya nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Patrobas Katambi amefunga rasmi Kambi ya wakimbizi ya Nduta iliyopo wilayani Kibondo mkoani hapa. Kambi hiyo…
1 May 2026, 12:57 am
Walimu watakiwa kujipanga kwa mfumo mpya
amewataka walimu wakuu kuanza mara moja zoezi la usajili wa wanafunzi wa mtihani wa mwaka 2027 sambamba na kuweka mipango madhubuti ya ufundishaji kwa wanafunzi Na. Abdunuru Shafii Afisa Elimu Awali na Msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani…
1 May 2026, 12:36 am
Walimu na wanafunzi wa shule za sekondari wapewa elimu ya kilimo
Fuateni kanuni bora za kilimo cha bustani ili kuhakikisha uzalishaji endelevu wa mbogamboga pamoja na kuimarisha lishe bora kwa wanafunzi. Na. Abdunuru Shafii Afisa Kilimo kutoka Halmashauri ya Mji Kasulu anayeshughulikia mazao ya bustani Bi. Elina Alphonce amefanya ziara katika…
15 April 2026, 8:20 pm
Mashujaa FC yajipanga kuivaa Singida Black Stars
Kila mchezaji yuko focused kuelekea mchezo huu. Tunatambua utakuwa mgumu kwa sababu tunaiheshimu Singida Black Stars kama wapinzani wetu, lakini nasi tuna kikosi imara chenye wachezaji bora wazawa wenye uwezo wa kupambana na kupata matokeo chanya Na. Abdunuru Shafii Afisa…
14 April 2026, 11:47 pm
Toeni huduma bora kwa wananchi
Nitaweka mkazo katika kuboresha huduma ya utoaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa Kigoma Ujiji Na. Abdunuru Shafii Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kigoma (KUWASA), Dkt. Christopher Nditi, amefanya kikao na watumishi…
14 April 2026, 2:15 pm
Dc amsimamisha kazi mwenyekiti wa mtaa uuzaji eneo la shule
Polisi mkamateni mwenyekiti huyo na kumfungulia mashtaka ya tuhuma za kuingilia na kuuza eneo la shule Na Abdunuru Shafii Mkuu wa wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Chuachua amemsimamisha uongozi mwenyekiti wa mtaa wa mgeo kata ya Buhanda Manispaa ya Kigoma…
18 March 2026, 3:15 pm
Serikali ya Burundi yapongezwa kulinda, kudumisha amani DRC
Wanyamulenge imempongeza Rais Evariste Ndayishimiye kwa juhudi zake za kusimamia amani nchini DRC,kusaidia na kuwajali watu wa Kongo Na. Bukuru Daniel Jamii ya Wanyamulenge kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokarsia ya Kongo wamempongeza Rais Evarsite Ndayishimiye katika jukumu la serikali yake…
13 March 2026, 6:05 pm
Watumishi sita wa afya wafa maji Kigoma
watu sita wamethibitika kufariki dunia na miili yao imepatikana, huku watu wengine watatu waliokuwa kwenye boti hiyo wakiendelea kutafutwa na vikosi vya uokoaji kwa kushirikiana na wananchi Na. Abdunuru Shafii Watumishi sita wa Idara ya Afya kutoka Halmashauri ya Wilaya…
13 March 2026, 3:05 pm
Uvinza yapokea trekta 19 za kilimo
maafisa ugani kuwa karibu na wakulima kwa kuwapatia elimu na ushauri wa kitaalamu Na. Abdunuru Shafii Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza katika zana za kisasa za kilimo ikiwemo matrekta makubwa na…