Radio Fadhila
Radio Fadhila
21/03/2025, 10:05
Mwananchi akipata huduma ya afya ya kinywa na meno katika viwanja vya Mashujaa, Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara. Picha na Godbless Lucius Afya ya kinywa na meno ina uhusiano wa moja kwa moja na afya ya akili, kwani…
19/03/2025, 11:10
Mtunzi wa jina la Tanzania Mohammed Iqbal Dar. Picha na Google Akiwa mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 shuleni Mzumbe, Iqbal alikutana na tangazo linalomtafuta mtu ambaye atatoa wazo la jina la nchi, baada ya kuunganishwa kwa Zanzibar na Tanganyika.…
19/03/2025, 10:55
Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Masasi Nachingwea (MANAWASA) Obadia Mtuya. Picha na Godbless Lucius “Wateja wa huduma ya maji wanazidi kuongezeka, na sisi kama taasisi tutaendelea kuboresha mifumo yetu ili kuhakikisha…
18/03/2025, 06:44
Picha na google “Jamii iachane na msemo wa dawa ya maumivu ya jino ni kuling’oa, kwani siku hizi jino linatibiwa kwanza mpaka ifikie hatua ambayo haliwezekani kabisa ndipo litang’olewa” Na Neema Nandonde Kuelekea kilele cha madhimisho ya wiki ya afya…
13/03/2025, 06:33
Tukio hilo lilitokea Februari 12, 2025, mtuhumiwa alimpiga mama yake kichwani kwa kutumia mchi, na kusababisha majeraha yaliyosababisha kifo chake. Na Neema Nandonde Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Hamisi Mohamedi (25), mkazi wa Kata ya Mlingula, Wilaya ya…
12/03/2025, 21:10
Kitendo kinachoelezwa kama ‘kukataliwa’ kimesababishwa na ndugu wa marehemu kupewa maelekezo ya kwanza yasiyo sahihi, kutoka kwa mhudumu aliyewataka kwenda moja kwa moja kwenye geti dogo la kuingilia mochwari. Na Neema Nandonde Kufuatia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said, mkazi…
10/03/2025, 15:02
Bandari ya Mtwara baada ya maboresho makubwa yaliyofanywa na serikali. Picha na Google Meli hiyo ni moja kati meli nne, ambazo zinatarajiwa kuwasili bandarini hapo mwezi huu wa tatu hadi wa nne, zikileta salpha kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa…
08/03/2025, 21:58
ni katika maandamano ya pamoja Wanawake wilayani Masasi mkoani Mtwara wameadhimisha Siku ya Maombi ya wanawake katika kuombea taifa na mambo mbalimbali. Katika maandamano hayo yaliyohusisha na mabango yenye jumbe inayosomeka (Nimeumbwa kwa namna ya ajabu) yenye lengo la kumfanya…
07/03/2025, 12:01
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Masasi Bi. Mariam Kasembe akiwa ameongozana na kamati ya siasa wakati wa ukaguzi wa miradi halmashauri ya mji Masasi. Picha na Godbless Lucius Kamati hiyo imepongeza hatua ya halmashauri ya Mji Masasi, kwa kutumia mapato…
07/03/2025, 10:33
Katika kufahamu zaidi kuhusu faida za usafiri wa baiskeli kwa wanafunzi, mwenzetu Neema Nandonde ametuandalia makala iliyohusisha mahojiano na wanafunzi wanaotumia usafiri huo wilayani Masasi mkoani Mtwara. Na Neema Nandonde Sauti ya Makala nzima kuhusu usafiri wa baiskeli kwa wanafunzi.
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara