Radio Fadhila

Recent posts

1 May 2024, 12:08 PM

Jela miaka 30 aliyemlaghai mtoto kwa njiwa na simbilisi

Na Lilian Martin. Masasi. Ndugu Habibu Yahya Waziri mkazi wa Nyasa Masasi mwanye umri wa miaka 22 amehukumiwa kifungo Cha miaka 39 jela Kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 10 ambaye ni mwanafunzi wa darasa la Tano…

1 May 2024, 11:50 AM

Mshona viatu miaka 30 jela

Na Lilian Martin, Masasi Mkazi wa mtaa wa Dodoma Wilayani Masasi Saidi Bakari mwenye umri wa miaka 42 anaye jishughulisha na ushonaji wa viatu ahukumiwa kifungo Cha miaka 30 jela Kwa kosa la Kumbaka Bi Eva chande mkazi wa mtaa…

22 April 2024, 5:39 PM

Ahaidi kuandika historia nyingine licha ya kuwa historia ndefu

Na Lilian Martin Ni mwenyekiti wa CCM wilaya Masasi mwenyekiti wa CCM wilaya ya Masasi Bi Mariam Kasembe ameahidi kuandika historia mpya licha ya kuwa na historia ndefu nyuma uongozi, maumivu na kukatishwa tamaa amesemakuwa safari yake ya kuongozi ilianza…

22 April 2024, 4:16 PM

Waomba kujitoa katika chama Cha msingi walichopo na kupata chama kipya

Wakulima wakiwa katika kikao Na Lilian Martin Masasi wakulima kutoka vijiji vya Chilimba Lisanje na Misechela vilivyopo Wilayani Masasi wamefanya kikao kilicho hudhuriwa na diwani wa kata hiyo mh.Juma Satma kilicho lenga adhima ya kupata chama Cha msingi kipya na…

8 April 2024, 12:26 PM

Meneja Crdb Masasi akanusha uvumi mkopo wa Mama Samia

mikopo Meneja wa Crdb Masasi Heriethi Rechengura akanusha upotoshwaji wa taarifa za mikopo inayo tolewa na Crdb Kwa akili ya kuwainua wanawake na kuitwa mikopo hiyo niya Mama Samia. Bi Herieth amekanusha uvumi huo Kwa kutoa ufafanuzi kuwa mikopo iliyopo…

18 January 2024, 9:29 AM

Hokololo, NBS watoa mafunzo kwa watendaji Mtwara

MASASI Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Mtwara kupitia Chama cha Mapinduzi  CCM,  AGNES  HOKOLOLO , amewataka viongozi walioshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo kutoka Tume ya Taifa ya Takwinu NBS  kuyatumia kwa ajili ya kupanga mipango ya maendeleo katika maeneo…

17 November 2023, 10:08 AM

Masasi waonywa kutotumia walemavu kujiingizia kipato

MASASI. Jamii wilayani Masasi imetakiwa kutowatumia watu wenye changamoto ya ulemavu kama sehemu ya kujiingizia kipato kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria. Wito huo umetolewa na wakili wa kujitegemea wilayani humo Kida Mwangesi, katika studio za Radio Fadhila wakati akiwasilisha…