Radio Fadhila
Radio Fadhila
23/02/2021, 04:46
Mwamuzi Lucien Toudignon wa Benin jana akiwa amelazwa kwenye hospital nchini Burkina Faso baada ya kushambuliwa na wachezaji wa klabu ya Bouenguidi ya Gambia kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa kufuzu makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika (Caf…
19/02/2021, 10:17
PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC, usiku wa kuamkia leo amepachika bao lake la 7 ndani ya ardhi ya Bongo akiwa ni kinara wa utupiaji ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na George Lwandamina. Alifunga bao…
19/02/2021, 10:14
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba, amesema kuwa wapinzani wao wote ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa pamoja na Al Ahly wameandaliwa dozi zao pale watakapokutana ndani ya uwanja. Simba ikiwa Kundi A kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada…
19/02/2021, 09:56
Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, ‘wamemlilia’ Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na kumuelezea kwa mema aliyoyafanya enzi za uhai wake hapa duniani. Mabalozi hao wamewasili katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar…
18/02/2021, 10:19
Mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad utazikwa leo Alhamisi Februari 18, 2021 mjini Pemba, Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaeleza kuwa mwili wa mwenyekiti huyo wa chama cha…
18/02/2021, 10:17
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United, Wanajeshi wa mpakani, Uwanja wa Karume, Mara. Kwa mujibu wa Spoti Xtra Alhamisi hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza chini ya…
18/02/2021, 09:21
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ametangaza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, kifo cha Balozi Kijazi kimetokea majira ya saa 3:10…
17/02/2021, 10:51
Rais wa Zanzibar, Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Raisi wa Zanzibar , aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi.Maalim Seif amekumbwa na umauti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam. Raisi…
17/02/2021, 10:09
Watoto katika umri huu wana mahitaji makubwa ya virutubishi kwa sababu wapo katika kipindi cha ukuaji wa haraka. Pia katika kipindi hiki huwa hakuna uangalizi mzuri wa watoto, na hivyo kuwaacha watoto wale chakula peke yao au kula na watoto…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara