Radio Fadhila
Radio Fadhila
10 March 2021, 11:45
Hakimu mkazi mfawidhi mahakama ya mwanzo lisekese masasi LIGHTINESS MASIMBA alipokuwa akizungumza na kipini cha amka na radio fadhila akizungumzia maswala ya ndoa na taraka ameeleza maana ya ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa sheria number 29 iliyofanyiwa marejeo…
8 March 2021, 16:01
Maadhimisho ya siku ya wanawake dunia ambayo huazimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 8 mwezi wa 3 yamefikiwa kilele chake hii leo , maadhimisho hayo. katika mkoa wa mtwara yamiadhishwa katika wilaya ya msasasi uwanja wa boma na kuhudhuliwa na viongozi…
4 March 2021, 15:08
4 March 2021, 04:12
TAASISI ya kuendeleza Nishati Asili Tanzania (TaTeDo) kwa kushirikiana na Shirika la WWF wameanza kutoa mafunzo kwa wajasiliamali wadogo wanawake zaidi ya 20 kutoka katika vikundi 10 wilayani Masasi mkoani Mtwara ya kuwajengea uwezo wa umuhimu wa matumizi bora ya…
4 March 2021, 04:07
MBUNGE wa Jimbo la Masasi, Geofrey Mwambe ambaye pia ni Waziri wa Viwanda na Biashara amewapatia vifaa mbalimbali vya Michezo Klabu ya mpira wa miguu ya Mkuti Makerti ya mjini Masasi ambapo Timu hiyo kwa sasa ndio imefanikiwa kuwa Bingwa…
3 March 2021, 11:44
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Mji Masasi mkoani Mtwara wamepitisha Rasimu ya Mpango wa Bajeti kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 yenye Makadirio ya Mapato na Matumizi yenye thamani ya Sh.bilioni 19,651,959, 451.00 Bajeti hiyo wamepitisha jana ,Machi 2/2021 katika…
28 February 2021, 04:28
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga @hbumbuli ameshinda rufani yake na Sasa yupo huru kuitumikia klabu yake. Ikumbukwe Bumbuli alifungiwa kujishughulisha na masuala ya soka kwa miaka 3 na Kamati ya Maadili ya TFF.
28 February 2021, 04:16
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba amesema kuwa mchezo wake ujao dhidi ya Al Merrikh utakuwa mgumu tofauti na wengi wanavyofikiria. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Simba ikiwa ipo kundi A ipo nafasi ya kwanza na ina pointi…
28 February 2021, 04:11
PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC amefanikiwa kutimiza majukumu yake kwa uzuri na kuipeleka timu hiyo hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho. Bao lake la ushindi dakika ya 45+1, Uwanja wa Azam Complex limetosha…
28 February 2021, 04:07
KIUNGO wa Yanga, Carlos Carlinhos amesema kuwa anasikitika kwa kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora uliochezwa Uwanja wa Uhuru. Jana, Februari 27 wakati Yanga ikishinda bao 1-0 dhidi ya Ken Gold FC…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara