Mufindi FM
Mufindi FM
21 June 2024, 11:34
Na Kefa Sika Mafinga Takribani vijana 192 wanatarajia kupata ajira za ulinzi wa misitu dhidi ya majanga ya moto shamba la miti saohill lenye ukubwa wa hekta 134,903 wilayani Mufindi kuanzia julai Mosi Mwaka huu. Hayo yamesemwa na Msaidizi wa…
16 June 2024, 11:39
Na Bestina Nyangaro Watu wawili wamefariki Dunia na wengine 16 kujeruhiwa, wakiwemo watumishi 6 wa shirika la umeme (TANESCO) Mafinga na wakatamiti katika shamba la miti Sao Hill. Ajali hiyo imetokea Juni 15, 2024 ikihusisha gari namba T195 EDF aina…
6 June 2024, 10:12
Na Jumanne Bulali Mufindi Emmanuel Mikael Mwepelwa mwenye umuri wa miaka 10, Mwanafunzi wa shule ya msingi Njojo kata ya Nyololo wilayani Mufindi mkoani Iringa, amesadikika kufariki dunia kwa kujinyonga, sababu zikiwa hazijulikani hadi sasa. Kwa Undani Wa Habarii Tuungane…
27 May 2024, 20:41
Na Bestina Nyangaro Mafinga. Miili ya watoto watatu, wawili wakiwa wa familia Moja waliokufa maji imeagwa na kuzikwa katika makabauri ya shamba la bibi kata ya Kinyanambo halmashauri ya mji Mafinga Leo mei 27, 2024.Watoto hao walikutwa wamepoteza maisha kwa…
17 April 2024, 19:40
Na Bestina NyangaroOfisi ya mbunge Jimbo la Mafinga Mjini kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati, imegawa mitungi 350 ya gesi ambayo imeambatana na elimu (Mafunzo) ya nishati safi ya kupikia kwa lengo la kuwezesha upatikanaji wa nishati hiyo. Zoezi hilo…
16 April 2024, 10:17
Na Jackson Machowa-Mufindi Wakulima wa zao la parachichi wilayani Mufindi kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika mnyororo wa thamani ya zao hilo wameungana na kuunda jukwaa la pamoja la zao hilo ili kupaza sauti itakayosaidia kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali…
9 April 2024, 10:33
Na Marko Msafili- Mufindi Wakati waumini wa dini ya Kiislamu kote ulimwenguni wakiendelea na mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Mufindi wameshiriki futar iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Dkt. Linda Salekwa. Hafla…
9 April 2024, 10:09
Na Jackson Machowa-MufindiJeshi la polisi kwa kushirikiana na idara ya uhamiaji mkoani Iringa linawashikilia wahamiaji haramu 16 raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali kinyume cha sheria.Wahamiaji hao wamekamatwa Jumamosi ya tarehe 6 April 2024 katika eneo…
21 March 2024, 18:33
Na Bestina Nyangaro/Mafinga Mbunge wa Jimbo la Mafinga mjini Mh. Cosato David Chumi amekabidhi gari la kubebea wagonjwa (ambulance) katika kituo cha afya Ifingo kata ya Kinyanambo. Hafla ya kukabidhi gari hilo imefanyika leo machi 21 2024, kwa lengo la…
12 March 2024, 08:25
Na Marko Msafili/IringaMarchi 10, 2024 yamefanyika Makabidhiano ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa kati ya Mkuu wa sasa wa Mkoa huo Mhe. Pater Serukamba na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Halima Dendego ambaye amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoani…
MUFINDI FM MAFINGA 107.3
Mufindi FM Redio 107.3 Mafinga ni Redio iliyo Chini ya Kampuni ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani iringa inayojulikana Kwa Jina la Mufindi Media Cooperation Company LTD. Mufindi FM Redio Ilianzishwa Mwaka 2021, Redio Isikilizwa Katika Mikoa ya Iringa na Njombe, Pamoja na Baadhi ya Wilaya Katika Mikoa ya Morogoro, Mbeya na Ruvuma.