Mufindi FM

TUFA wakabidhi miche 100 ya parachichi shule ya msingi Ndolezi kukabiliana na udumavi Mafinga

16 July 2024, 21:02

MAFINGA

Na Jumanne Bulali

Katika kuimarisha mapambano dhidi ya udumavu kwa watoto na utunzaji wa mazingira, Shirika lisilo la kiserikali la The Universe for all Initiative (TUFA) -limekabidhi miche mia moja ya parachichi katika shule ya msingi Ndolezi katika halmashauri ya mji Mafinga wilayani Mufindi.

Kwa undani wa Habari hii kutoka Chumba chetu cha Habari Tuungane na Mwanahabari wetu Jackson Machowa………..

Ripoti ya Jackson Machowa