Recent posts
22 February 2024, 6:31 pm
Wananchi watakiwa kutowanyanyapaa waraibu wa dawa za kulevya
Jamii mkoani Manyara imetakiwa kuacha tabia ya kuwanyanyapaa waraibu wa dawa za kulevya na badala yake wawaunganishe na vituo vya tiba. Na Mzidalfa Zaida Jamii mkoani Manyara na Kanda ya Kaskazini kwa ujumla imetakiwa kuacha tabia ya kuwanyanyapaa waraibu wa…
21 February 2024, 5:57 pm
Polisi Manyara watumia mabomu ya machozi kutawanya wananchi
Jeshi la polisi mkoani Manyara lalazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi walioandamana bara bara kuu ya Babati -Arusha kufuatia kuuliwa kwa mtoto wa miaka saba Jeshi la polisi mkoani Manyara limelazimika kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wananchi waliokuwa…
20 February 2024, 7:14 pm
Mtoto wa miaka 7 Babati auwawa kwa kutenganishwa kichwa, kiwiliwili
Na Mzidalfa Zaid Mtoto mwenye umri wa miaka saba ambaye ni mwanafuzi wa chekechea ameuwawa kwa kuchinjwa na mtu asiyejulikana katika kijiji cha Mapea kata ya magugu wilayani babati mkoani Manyara. Akizungumzia tukio hilo Mwenyekiti wa kijiji cha Mapea Filmon…
16 February 2024, 7:21 pm
Tosci yawataka wakulima kutoa taarifa wanapouziwa mbegu zisizo na ubora
Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutoa taarifa kwa Taasisi ya kudhibiti ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI) wanapobaini wameuziwa mbegu bandia. Na Mzidalfa Zaid Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutoa taarifa kwa Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) wanapobaini wameuziwa mbegu bandia…
14 February 2024, 6:59 pm
Madereva bajaji waweka mgomo Babati
Na Mzidalfa Zaid Madereva bajaji wa halmshauri ya mji wa Babati mkoani Manyara wameandamana hadi katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi baada ya kuweka mgomo wa kusafirisha abiria asubuhi ya leo wakidai kukamatwa katika eneo Changarawe njia ya kuelekea kata…
8 December 2023, 6:38 am
Makala: Umuhimu wa Bima ya afya kwa wananchi wote
Wakati wananchi nchi wakilalamikia kutopata huduma nzuri za matibabu na kukosekana kwa dawa wanapokwenda kupata huduma za afya katika hospitali mbali mbali serekali imewataka kuwa na bima za afya.. Na Mzidalifa Zaid Serikaili imehimiza wananchi wote nchini kutumia bima za…
7 December 2023, 6:30 am
Wananchi wa kata ya Sarame walazimika kunywa maji machafu
Na Muzidalifa Zaid. Wananchi wa kata ya Sarame wilayani Babati mkoani Manyara, wameiomba serikali kutatua changamoto ya maji ambayo limedumu kwa muda mrefu katika kijiji hicho na kupelekea kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji. Wananchi hao wamesema kutokana na…