FM Manyara

Usawa wa kijinsia umetekelezwa ipasavyo au bado kuna ukandamizaji?

31 March 2026, 13:31

Picha ya mfano halisi wa usawa wa kijinsia

Katika miaka ya hivi karibuni, suala la usawa wa kijinsia limeendelea kupewa kipaumbele katika jamii nyingi Duniani, ikiwemo Tanzania.

Na Mzidalfa Zaid

Makala yetu imezungumza na wanawake, wanaume, mganga mkuu wa mkoa wa Manyara ,mkaguzi wa jeshi ka zima moto na uokoaji , afisa habari wa mkoa pamoja na viongozi kutoka Mashirika mbalimbali.

Sauti ya makala