FM Manyara
FM Manyara
22 October 2025, 3:09 pm

Zikiwa zimebaki siku chache Tanzania kufanya uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani, baadhi ya wanawake mkoani Manyara wameonekana kuwa mstari wa mbele kushiriki uchaguzi mkuu na kuwachagua viongozi wanaowataka.
Na Mzidalfa Zaid, Hawa Rashid
Fm Manyara imekuandalia makala maalum ambapo imezungumza na mgombea ubunge viti maalum Regina ndege, Mkuu wa wilaya ya Babati Emmanuela Kaganda, Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Babati mjini Simoni Mumbee na wananchi.