FM Manyara
FM Manyara
13 October 2025, 1:05 pm

Karibu msikilizaji katika makala maalum inayozungumzia udhibiti wa rushwa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ambapo Taaisisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU inaendelea kutoa elimu kwa wananchi kuepuka rushwa kabla,wakati na baada ya uchaguzi.
Karibu usikilize makala