FM Manyara
FM Manyara
26 June 2025, 11:28 am

Karibu usikilize makala maalum inayohusu Rushwa ya ngono inavyopelekea wanawake kushindwa kuwania nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika october mwaka huu.
Na Hawa Rashid
Makala hii imezungumza na viongozi wa takukuru, wananchi pamoja viongozi wa vyama vya siasa.