FM Manyara
FM Manyara
28 May 2025, 4:21 pm

Karibu usikilize makala maalum inayohusu nafasi ya mwanamke katika uongozi inavyosaidia kuondoa mila potofu katika jamii kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika october mwaka huu.
Na Mzidalfa Zaid
Makala hii imezungumza na viongozi wanawake, viongozi wa mila, wanawake pamoja na wanaume ambao wamekuwa na maoni tofauti.