Radio Tadio

Habari za Jumla

28 February 2021, 10:14 am

DANGOTE kupiga tafu miradi ya Milioni 648 Mtwara Vijijini

Kiwanda cha saruji DANGOTE Mtwara tarehe 26 Februari, 2021 kimeingia makubaliano maalum na halmashauri ya wilaya ya Mtwara kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya milioni 648 katika sekta ya elimu, afya, maji na michezo. Makubaliano hayo yamefanyika…

26 February 2021, 9:15 am

Tumieni teknolojia vizuri kukuza uchumi

Na, Benard Philbert, Dodoma. Jamii imeshauriwa kutumia teknolojia ipasavyo ili kutambua fursa mbalimbali zitakazo changia katika ukuaji wa uchumi. Hayo yameelezwa na mhandisi Eliponda Hamir kutoka taasisi ya Teknolojia Tanzania Community network, wakati akizungumza na taswira ya habari kuhusu matumizi…

26 February 2021, 6:05 AM

Simba itakaribishwa na African Lyon

IKIWA Uwanja wa Mkapa leo Simba itakaribishwa na African Lyon kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao utachezwa majira ya saa 1:00 usiku. Chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes unakuwa ni mchezo wake wa kwanza kwenye Kombe la Shirikisho baada…

26 February 2021, 5:14 AM

BARAZA la Madiwani lapitisha Rasimu ya Bajeti 2021/2022

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi mkoani Mtwara limepitisha Rasimu ya Mpango wa Bajeti kwa Mwaka wa fedha 2021/2022,Mpango huo umepitishwa katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika jana tarehe 24, Febuari katika ukumbi wa Halmashauri hiyo…

25 February 2021, 6:46 am

Mvua zakwamisha ukarabati miundombinu ya maji

Na,Benard Philbert, Dodoma. Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimetajwa kuwa kikwazo cha kutokukamilika kwa marekebisho ya miundombinu ya maji katika mtaa wa Mahomanyika jijini Dodoma. Miezi mitatu iliyopita baadhi ya wakazi wa mtaa huo walinukuliwa wakilalamika ukosefuwa huduma ya maji kutokana…

25 February 2021, 06:35 am

Wataalamu wa Elimu wafanya ufuatiliaji Mtwara Vijijini

Timu ya wataalamu ikiongozwa na Afisa elimu Msingi Mwl. Adam Shemnga Jana Tarehe 24 Februari, 2020 wamefanya ufuatiliaji na ukaguzi wa maendeleo ya kitaaluma katika Shule kwa lengo la kuongeza ufanisi kwenye Sekta hiyo Mtwara Vijijini. Ukaguzi huo umelenga kufuatilia…