Radio Tadio

Habari za Jumla

26 April 2024, 20:50 pm

DC:Munkunda awataka wananchi kuwa wamoja kudumisha muungano

Faida za muungano wa Tanganyika na Zanziba ni nyingi kwa pande zote mbili zikiwemo za kibiashara,Uchumi na kijamii Na Musa Mtepa Mkuu wa wilaya ya Mtwara  Mwanahamisi Munkunda amewaomba wananchi  kuwa wamoja katika  kuuenzi  na kudumisha muungano wa Tanganyika na…

April 26, 2024, 4:38 pm

wananchi Ileje waaswa kuudumisha muungano

Na Denis Sinkonde,Songwe Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoani Mkoa wa Songwe Farida Mgomi, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kuuenzi, kuulinda na kuutetea Muungano  kwa kushirikiana kufanya kazi kwa bidii juhudi na maarifa ili kuendelea kutunza na kuimarisha tunu za…

26 April 2024, 16:19

Wananchi watakiwa kuulinda na kudumisha muungano

Wananchi wametakiwa kuendelea kuuenzi muungano kwa kutimiza wajibu na kutenda haki kama chachu ya kuhimiza maendeleo kwa watanzania. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna jenerali mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye amewataka…

26 April 2024, 2:59 pm

Wanafunzi kumaliza vitendo vya ukatili shuleni

Vijana wametakiwa kuwa msitari wa mbele kutoa taarifa oindi wanapo fanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia MBEYA Na Lennox Mwamakula Kutokana na ongezeko la vitendo vya ukatili vinavyoripotiwa kwenye maeneo mbalimbali mkoani mbeya, serikali kwa kushrikiana na wadau mbalimbali wamekutana…

26 April 2024, 2:09 pm

Jamii yatakiwa kutunza mazingira Rungwe

katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa akisoma taarifa mbele ya mkuu wa wilaya kwenye siku ya maadhimisho ya miaka 60 ya muungano [picha na Lennox Mwamakula] wananchi wametakiwa kuendelea kudumisha amani iliyopo kwa kulinda muungano wa tanzania RUNGWE-MBEYA…

26 April 2024, 12:12

Ruwasa kigoma tunazalisha maji lita elfu 42 kwa siku

Wadau wa maji Manispaa ya kigoma ujiji wameomba serikali kupitia mamlaka ya maji na usafi wa mazingira kuhakikisha inafikisha maji kwa wananchi ili kuondoa adha ya kutumia maji ya isima na mito. Na Lucas Hoha – Kigoma. Serikali imeondoa changamoto…

26 April 2024, 09:39

“Nchi yetu imeanza kuchukua hatua,matumizi ya gesi”

Matumizi ya nishati ya kupikia itasaidia kutunza mazingira yetu kwani kwa sasa mafuriko tunayoyaona ni matokeo ya uharibifu wa mazinira na misitu kwa kukata miti na misitu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kutumia nishati…

25 April 2024, 21:39

Viongozi wa dini waja na mkakati kabambe kilimo cha ufuta

Kwa kutambua umuhimu wa kilimo nchini, taasisi za dini zimejikita katika uzalishaji wa mazoa biashara katika kilimo cha ufuta. Na Ezra Mwilwa Umoja wa Makanisa Tanzania umejipanga kuanzisha mradi wa kilimo cha ufuta ili kuinua uchumi wa nchi. Kauli hiyo…