Radio Tadio

Habari za Jumla

26 March 2024, 19:03

Wadau waombwa kusaidia watoto wenye uhitaji

Katika ulimwengu huu hakuna anayejua kesho yake hivi ndivyo unaweza kusema baada ya baadhi ya watoto kujikuta wapo kwenye mazingira magumu baada ya kupoteza wazazi. Na Ezra Mwilwa Wadau mbalimbali wameomba kujenga tabia ya kutembelea wahitaji mbalimbali na watoto yatima…

March 26, 2024, 5:17 pm

Tatizo la maji Makete latafutiwa muarobahini.

ikiwa serkali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imejikita katika kumtua mama ndoo kichwani wilaya ya Makete imefika zaidi ya 91%katika utekelezaji wa mkakati huo , Mkuu wa Wilaya ya Makete ambaye pia ni mgeni rasmi wa kikao Cha wadau…

26 March 2024, 4:11 pm

Aliyesombwa na mafuriko mwili wake umepatikana

Na Elias Maganga Mwili wa Kijana Shafii Abas Kambeyu aliyesombwa na mafuriko wakati akiwa anawavusha watu wengine katika daraja la Katindiuka halmashauri ya Mji wa Ifakara umepatikana. Akizungumza na pambazukofm Mwenyekiti wa Mtaa wa Katindiuka A Mulla Mlamba amesema mwili…

26 March 2024, 15:38

Wananchi wafurahia utekelezaji wa miradi ya elimu Kakonko

Wakazi wa Kata ya Kanyonza katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, wameishukuru serikali ya  awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kujenga shule ya sekondari ya wasichana ya bweni na ambayo itatoa fursa kwa mabinti…

26 March 2024, 09:31

Wananchi wapigwa marufuku kuuza mazao kiholela

Akiba ni msingi wa maendeleo,Mkoa wa Songwe ni moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini inayosifika katika uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara,kumekuwa na tabia ya baadhi ya wananchi kusahau kesho yao pale wanapovuna mazao na wanajikuta wanauza…

26 March 2024, 09:06

Kamchape yawa tishio kwenye jamii Kigoma

Jamii wilayani Kasulu mkoani Kigoma imeaswa kupinga na kukemea huduma zinazotolewa na wapiga ramli chonganishi maarufu kwa jina la Kamchape ama lambalamba kwani wanasababisha kuvuruga amani hali inayosababisha madhara makubwa katika wananchi. hii hapa ni ripoti yake Hagai Ruyagila

25 March 2024, 5:31 pm

Mafuriko yaua mtu mmoja Ifakara

Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara wametakiwa kuwa makini katika kipindi hiki cha mafuriko na pia wazazi wanapaswa kuwaangalia watoto wao wasiwaache kwenda kuchezea maji kwani wanaweza kupoteza maisha Na Elias Maganga Baadhi ya maeneo katika Halmashauri ya Mji…