Radio Tadio

Habari za Jumla

14 September 2026, 12:17 pm

RC Makalla akemea mauaji Ngorongoro

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla, amekemea mauaji ya wananchi wawili kutoka jamii ya Kimasai, yaliyotokea wakati wa mgogoro kati ya Wamasai na Wadatoga katika Kata za Kakesio na Eyasi, Wilaya ya Ngorongoro. Na mwandishi wetu…

13 September 2026, 23:12

TANTRADE yawaunganisha wajasiriamali na fursa za masoko Zanzibar

Waziri wa Vijana, Ajira na Uwezeshaji, Shaaban Ali Othman, ameitaka ZEEA kuwafuata wajasiriamali katika maeneo yao ya biashara na kutatua changamoto zinazowakabili. Amesema huduma za uwezeshaji, ikiwemo mikopo na elimu ya biashara, zinapaswa kuwafikia wananchi kwa vitendo ili kukuza biashara…

13 September 2026, 22:29

Polisi Zanzibar kutumia kamera kupambana na makosa barabarani

Jeshi la Polisi Zanzibar limeanza kutumia teknolojia ya kamera katika kufuatilia makosa ya usalama barabarani, hatua inayolenga kupunguza ajali, kuimarisha utii wa sheria na kuokoa maisha. Na Omar Hassan. Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani Zanzibar, Kamishna Msaidizi wa Polisi…

10 September 2026, 10:07 am

SNV yarejesha tabasamu kwa wakulima

“mashamba yangu yote yalikumbwa na mtaro wa maji” Na. Restuta Nyondo Wakulima katika Kijiji cha Mnyagala wamelishukuru shirika la SNV kwa kusaidia kurejesha mto katika njia yake na kuokoa mashamba yao ambayo yamekua yakipotea kila mwaka. Wameiambia mpanda radio fm…

8 September 2026, 11:37 am

OCD awataka waendesha bajaji kuwa waadilifu na wazalendo

Jeshi la polisi wilayani Sengerema limezungumza na vijana wanaojishughulisha na usafirishaji wa abiria hasa bajaji na kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa nchi yao. Na Elisha Magege Wito huo umetolewa na mkuu wa jeshi la polisi Sengerema, SSP. Kurwa Misogalya wakati akizungumza…

7 September 2026, 2:56 pm

Mpanda yaanza kuchukua tahadhari El-Nino

Na. Ben Gadau “Wananchi wasibeze taarifa zinazotolewa na mamlaka ya hali ya hewa“ Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamil Yusuph Kimaro, amewataka wananchi kuchukua tahadhari mapema ili kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua za El-Nino zinazotarajiwa kuanza hivi…

5 September 2026, 1:03 am

Wazazi Ushetu, watakiwa kuwekeza elimu kwa watoto wao

‘‘Wazazi somesheni watoto wenu ili watimize ndoto zao’’ Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuacha tabia ya kuwaozesha watoto wao kwa lengo la kutafuta mali, na badala kuwapa nafasi ya kusoma ili waweze kutimiza…

4 September 2026, 6:25 pm

Bodaboda kuchukuliwa hatua Rungwe

Mrakibu wa polisi wilaya ya Rungwe Felix Kakolanya akiongea na kituo hiki ofisini kwake[ Picha na Aidan Mwakyoma] waendesha vyombo vya moto nchini wametakiwa kufuata sheria ili kupunguza ajali RUNGWE Na Aidan Mwakyonya Mrakibu wa jeshi la polisi Wilayani Rungwe …