Radio Tadio

Habari za Jumla

4 September 2026, 16:46

Mtwara DC yavuka lengo la ukusanyaji mapato kwa asilimia 12

Halmashauri ya Mtwara Vijijini imevuka lengo la mapato kwa mwaka 2025/2026, ikikusanya shilingi bilioni 7.5 dhidi ya bilioni 6.7, sawa na ongezeko la zaidi ya asilimia 12 Na Musa Mtepa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imefanikiwa kuvuka lengo la ukusanyaji…

4 September 2026, 12:34 pm

Katavi yaja na kliniki ya sheria bila malipo

Na Ben Gadau Mkoa wa Katavi unatarajia kuzindua Kamati za Ushauri wa Kisheria ngazi ya Mkoa na Wilaya, Septemba 8, 2026 kwenye Viwanja vya Azimio mjini Mpanda, ambapo wananchi wa Katavi na mikoa jirani watapata huduma za Kliniki ya sheria…

27 August 2026, 20:17

TARI yaongeza utafiti kukabili visumbufu vya zao la korosho

TARI inaendelea na utafiti wa magonjwa na visumbufu vya korosho, ikiwemo mnyauko Fusari, huku ikitumia teknolojia ya drones na AI kuboresha udhibiti wa changamoto hizo na kuongeza uzalishaji Na Musa Mtepa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imeeleza kuwa…

24 August 2026, 10:17 pm

IAA kampasi ya Babati yazindua programu mbili za shahada

Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Kampasi ya Babati mkoani Manyara kimezindua programu mbili mpya za shahada ambazo zitaanza kutolewa katika kampasi hiyo kuanzia mwaka wa masomo 2026/2027. Na Mzidalfa Zaid Programu hizo ni Shahada ya Uhasibu na Teknolojia ya Habari…

24 August 2026, 7:27 pm

Watoto 128,000 kupata chanjo ya polio Babati DC

Zaidi ya watoto laki moja na Ishirini na 8 elfu wenye umri chini ya miaka kumi katika halmashauri ya wilaya ya Babati mkoani Manyara wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya polio itakayotolewa kuanzia August 27 hadi 30 mwaka huu 2026. Na Marino…

22 August 2026, 1:43 pm

Kahama yasajili vikundi maalum 326 katika mfumo wa NeST

‘‘Endeleeni kusajili vikundi na kutumia katika zabuni mtakazokuwa mnatangaza ili nao wawe sehemu ya wanufaika’’ Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga imefanikiwa kusajili jumla ya vikundi 326 vya makundi maalum katika Mfumo wa Manunuzi ya Umma kwa Njia ya…

21 August 2026, 23:10

Jeshi la polisi Mbeya watembelea wagongwa

Katika kujenga umoja na ushirikiano katika jamii taasisi mbalimbli nchini zimeendelea kutembelea na kutoa misaada kwa watu wasio jiweza. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Benjamin Kuzaga amewaongoza Maafisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo…

21 August 2026, 17:07

Wazazi Watakiwa Kutoa Lishe Bora kwa Watoto

Kutokana na uwepo wa changamoto ya udumavu wa watoto kutokana na ukosefu wa lishe bora. Na Ezra Mwilwa Wazazi na walezi wametakiwa kufika mara kwa mara katika vituo vya afya ili kupata elimu kuhusu uandaaji wa lishe bora kwa watoto,…

20 August 2026, 1:50 pm

Manyara yajipanga chanjo ya Polio kwa watoto 675,630

Na Isack Dickson Mkoani Manyara, maandalizi yamekamilika kuelekea kampeni ya chanjo ya matone ya Polio itakayofanyika Agosti 27 hadi 30, 2026. Watoto 675,630 walio chini ya umri wa miaka 10 wanatarajiwa kufikiwa na chanjo hiyo. Wanahabari wamepewa elimu ili kusaidia…