Habari za Jumla
2 June 2026, 11:21
Mtwara yawakutanisha wataalamu wa Korosho barani Afrika
Mtwara imekuwa mwenyeji wa mafunzo ya kimataifa ya korosho yaliyowakutanisha washiriki kutoka zaidi ya nchi 11 za Afrika kujadili mbinu za kuongeza uzalishaji, thamani na masoko ya zao la korosho kwa manufaa ya wakulima na wadau wa sekta hiyo Na…
1 June 2026, 4:00 pm
Serikali yaombwa kuingilia kati mgogoro wa kanisa la Mungu Tanzania
Waumini wa Kanisa la Mungu Tanzania lenye makao makuu yake mjini Babati mkoani Manyara wameiomba Serikali kuingilia kati na kusaidia kutatua mgogoro unaodaiwa kudumu kwa miaka zaidi ya minne ndani ya kanisa hilo, wakidai unasababishwa na baadhi ya viongozi kukiuka…
30 May 2026, 2:50 pm
Wavamizi wachoma nyumba Muhunda
‘‘Tulikuwa na uzinduzi wa albamu ya muziki ambayo ilikuwa inafanyika katika sehemu yangu ya biasahara tulimaliza usiku na tulirejea saa tisa usiku tukiwa na mke wangu na kukuta nyumba imechomwa moto” David Wanzagi Nyerere Na Amos Marwa Watu wasiojulikana wamevamia…
29 May 2026, 1:47 pm
Usawa wa kijinsia unazingatiwa kwa namna gani shuleni?
Karibu usikilize makala maalum inayohusu usawa wa kijinsia unazingatiwa kwa namna gani mashuleni? makala yetu imzezungumza na walimu wakuu, wanafunzi pamoja na walimu katika shule mbalimbali wilayani Babati mkoani Manyara. Na Mzidalfa Zaid, Hawa Rashid
28 May 2026, 1:42 pm
Makarani Kahama wafundwa kuelekea uchaguzi mdogo
Makarani waongozaji wa uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Zongomela wametakiwa kusoma Katiba sheria na miongozo ya tume ya uchaguzi Pamoja na kujiepusha kuwa vyanzo vya malalamiko kutoka katika vyama vya siasa. Na mwandishi wetu Wito huo umetolewa na msimamizi…
28 May 2026, 1:32 pm
Manispaa ya Kahama yatia saini ya ujenzi wa wa barabara ya lami
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa barabara katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kupitia Mradi wa TACTIC. Na mwandishi…
27 May 2026, 5:09 pm
Ujumbe wa Eid al-adha wahamasisha amani,mshikamano
“Amewataka waumini wa dini ya kiislam kuto kugawanyika kwa misingi ya siasa wala ukabila na udini jambo ambalo ni kinyume na taratibu namiongozo ya dini hiyo.” Na Samwel Mbugi- Katavi Waumini wa dini ya kiislamu mkoa wa Katavi wamesisitizwa kuwa…
26 May 2026, 6:21 pm
Swala ya eid kuswaliwa uwanja wa Tanzanite Manyara
Waumini wa dini ya Kiislamu mkoani Manyara wametakiwa kushiriki swala ya Eid itakayofanyika kimkoa katika viwanja vya Tanzanite Kwaraa stadium huku wakihimizwa kujitokeza kwa wingi na kuendelea kutenda matendo mema katika siku hiyo ya eid. Na Mzidalfa Zaid Hayo yamesemwa…
25 May 2026, 6:05 pm
TAKUKURU yabaini ubadhirifu mradi wa shule Simanjiro
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Manyara imefanikiwa kudhibiti upotevu wa zaidi ya Shilingi milioni mbili katika mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Namalulu iliyopo wilayani Simanjiro baada ya kubaini matumizi mabaya ya fedha za…
25 May 2026, 4:51 pm
Jeshi la zimamoto na uokoaji wilaya lapata vitendea kazi
Kaimu mkuu wa wilaya ya Babati ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Kiteto Remidius Mwema , amewataka viongozi wa jeshi la zima moto na uokoaji wilayani Babati mkoani Manyara kutoa elimu kwa wananchi namna ya kukabiliana na majanga kwa…