Radio Tadio

Habari za Jumla

9 March 2021, 11:57 am

Umeme upo wakutosha Mtwara na Lindi – TANESCO

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mtwara limesema kwa sasa uzalishaji wa umeme Mtwara na Lindi umeongezeka na kupita kiwango cha matumizi ya mikoa hii ya Lindi na Mtwara na wanahakikisha kila mwananchi ananufaika na nishati hii ya umeme.…

9 March 2021, 09:35 am

Msitegemee Korosho tu: Makamu rais TCCIA

Wakulima mkoani Mtwara wameshauriwa kulima kilimo bora na cha kisasa ili kuendana na fursa mbalimbali za masoko na mazao ya kibiashara ikiwemo zao la muhogo. Akitoa wito huo jana Machi 08,2021 kupitia Jamii FM Radio Makamu wa rais wa chama…

9 March 2021, 9:14 am

Dodoma Jiji Fc wasaka rekodi

Na, Rabiamen Shoo, – Dodoma. Timu ya Dodoma Jiji Fc hii leo inatarajia kushuka katika dimba la Sokoine jijini Mbeya kuvaana na wenyeji wao Mbeya City Fc kwenye mechi ya ligi kuu soka Tanzania Bara. Dodoma jiji hivi karibuni imeibuka…

9 March 2021, 8:32 am

Zaidi ya trilion 1 zawekezwa sekta ya elimu nchini

Na, Yussuph Hans, Dodoma. Imeelezwa kuwa zaidi ya shilingi trilioni 1.291 zimewekezwa katika mpango wa elimu bure, ambapo matokeo yake yameonekana kwa kuongezeka kwa idadi kubwa ya wanafunzi Shuleni pamoja na Ufaulu. Hayo yamebainishwa na msemaji mkuu wa Serikali na…

8 March 2021, 09:52 am

Waandishi wa Habari wanawake Mtwara waadhimisha IWD21

Waandishi wa Habari Wanawake kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Mtwara (MTPC) Leo Machi 8, 2021 wameadhimisha siku ya Wanawake Duniani katika shule ya sekondari ya Mtwara Sisters. Akizungumza katika maadhimisho hayo mwenyekiti wa MTPC Grace Kasembe amesema wameona vyema…

6 March 2021, 14:54 pm

KIWOHEDE yatoa Taulo za kike siku ya wanawake Duniani

Siku ya wanawake Duniani imeadhimishwa leo Machi 6, 2021 katika Kata ya Nanguruwe Halmashauri ya wilaya ya Mtwara kwa taasisi na Mashirika ya mbalimbali kuwashika mkono wanawake katika kuadhimisha sikukuu hii muhimu. Mkuu wa wilaya ya Mtwara Danstan Kyobya amesema…

5 March 2021, 1:28 pm

Halmashauri yahamisha mnada wa Msalato

Na, Shani Nicholous, Dodoma. Halmashauri ya jiji la Dodoma imepanga kuuhamishia mnada wa Msalato pembezoni mwa Soko la Jobu Ndugai lililopo Kata ya Nzuguni. Mpango huo umepangwa kutekelezwa kabla ya nusu ya mwaka huu ambapo mnada huo unatarajiwa kuanzia juma…