Radio Tadio

Habari za Jumla

28 June 2023, 2:19 pm

Anaswa kujiunganishia maji kinyemela Kahama

Jeshi la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama (KUWASA) limemkamata Bwana Swamweli Samson mkazi wa mtaa wa Kihulya Nyakato kata ya Nyasubi kwa tuhuma za kuiba maji na kumwagilia bustani.…

9 June 2023, 7:43 am

Zitto: Bei ya pamba iendane na gharama za uzalishaji

Kufuatia kilio cha wakulima wa zao la pamba nchini hususani katika bei ya pamba, chama cha ACT-Wazalendo kimewaelekeza wachambuzi wake kuangalia iwapo bei hiyo inaweza kusaidia mkulima kurejesha gharama zake alizozitumia katika kilimo. Hayo yamebainishwa na kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto…

7 June 2023, 5:40 pm

Sauti ya Katavi (Matukio)

MPANDA. Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya usalama wa chakula diniani mkoa wa katavi ni miongoni mwa mikoa Tanzania inayozalisha mazao ya chakula kwa wingi licha ya kukabiliwa na changamoto ya utapia mlo na udumavu kwa watoto. Kufuatia siku…

7 June 2023, 2:12 pm

Zito Kabwe kuunguruma Musoma

Chama cha ACT Wazalendo kesho tarehe 8 Juni 2023 kitafanya mkutano mkubwa wa siasa katika viwanja vya shule ya msingi Mkendo Manispaa ya Musoma mkoani Mara. Hii ikiwa ni mwendelezo wa mikutano yake tangu ilivyozindua mikutano hiyo mwezi Februari 2023…