Radio Tadio

Habari za Jumla

7 June 2023, 10:54 am

Sauti ya Katavi (Matukio)

KATAVI Watu wawili  Mkoani Katavi wamehukumiwa kifungo cha Miaka Mitatu kila mmoja jela kwa tuhuma za kuua bila kukusudia huku wengine Wanne wakienda Jela kwa makosa ya Wizi. Mwandishi wa Mpanda Radio Henry Mwakifuna amefika ofisi za Kamanda wa Polisi…

6 June 2023, 18:11

Jamii yaomba elimu utambuzi bidhaa zilizothibitishwa na TBS

Na Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi pamoja na wafanyabiashara jijini Dodoma wameiomba serikali pamoja na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kutambua bidhaa kama imethibitishwa na TBS. Dodoma Tv imefanya mahojiano na…

2 June 2023, 22:32

Katibu CCM Karagwe: Leeni watoto kimaadili

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya Karagwe Bw. Anathory Nshange amewataka wazazi na walezi kulea watoto wao katika maadili ya kitanzania na kiimani Bw. Nshange ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mahafali ya tano ya chuo cha Karaduce wilayani Karagwe…

2 June 2023, 22:17

Homa ya marburg Kagera yatokomezwa

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameutangazia ulimwengu kuwa Kagera na Tanzania ni salama dhidi ya ugonjwa wa marburg na kwamba hakuna tena ugonjwa huo. Pamoja na hayo waziri Ummy pia amewashukuru watumishi wa wizara ya afya pamoja na mashirika ya…

1 June 2023, 10:18 am

Sauti ya Katavi (Matukio)

MPANDA Chama cha ACT Wazalendo kimewataka wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi kufanya mabadiliko ya kiuongozi ifikapo mwaka 2025 ili kuepukana na changamoto mbalimbali za kimaisha ambazo wamekuwa wakikutana nazo. Hayo yamezungumzwa na uongozi wa chama cha ACT katika…

30 May 2023, 10:19 am

Sauti ya Katavi (Matukio)

MPANDA Wafanyabiashara wilaya Mpanda mkoani Katavi wameishutumu Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Katavi kuwa ni moja ya chanzo cha  kufirisika kwa mitaji yao. Wafanyabiashara hao wamebainisha hayo katika kikao kilichoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza…

27 May 2023, 12:03

Tembo wachangia maendeleo -Ifakara

Kutokana na wananchi wa Kijiji cha Sole kata ya Mkula Halmashauri ya Mji wa Ifakara kutembea umbali mrefu kufuata huduma za Afya,STEP,imekabidhi hundi ya kiasi cha Shilingi Mil 10 ,kwa ajili ya Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji hicho hali itakayosaidia…

26 May 2023, 10:57 am

Sauti ya Katavi (Matukio)

MPANDA Wadau wanaozalisha mazao yatokanayo na mifugo Mkoa wa Katavi, wametakiwa kufuata sheria, ikiwemo kuboresha usafi katika mabucha, na kuepuka matumizi ya magogo na vyuma vyenye kutu ili kulinda afya ya walaji.  Afisa Mfawidhi wa Bodi ya Nyama Kanda ya…