Habari za Jumla
7 April 2023, 7:10 am
Watu 5 Katavi Wakamatwa na Kilo 4 na Kete 209 za Bangi
MPANDA Jeshi la polisi mkoa wa katavi limefanikiwa kuwakamata watu watano wakiwa na kilo nne na kete mia mbili na tisa za madawa ya kulevya aina ya bangi. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa…
5 April 2023, 15:53
Wanaushirika wakubaliana kuongeza hisa pamoja na michango-Kilombero
Wanachama wa Chama cha Ushirika cha Uvuvi,Usindikaji na Masoko Kilombero wakiwa kenye mkutano Chama cha Ushirika cha Uvuvi,Usindikaji na Masoko Kilombero kimeundwa kwalengo la kuwaunganisha Wavuvi wote wanaojihusha na Uvuvi na hio itasaidia kudhibiti uvuvi haramu ili kuulinda Mto Kilombero…
4 April 2023, 5:53 am
Wananchi Mpanda Watoa Maoni Mseto Juu ya Damuchafu
MPANDA Baadhi Ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wametoa maoni mseto juu ya wimbi lililoibuka la watu wanaofanya matukio ya kupora na kuiba mitaani maarufu kama Damu Chafu. Wameyasema hayo kwa nyakati tofauti wakati wakizungumza na kituo hiki…
30 March 2023, 3:38 pm
Wananchi Tanganyika waomba elimu ya afya ya meno na kinywa
KATAVI Baadhi ya wananchi wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba kupatiwa elimu ya afya ya kinywa na meno kabla ya kupata athari. Wakizungumza na Mpanda radio Fm wamekiri kupata huduma bora ya afya ya meno huku wakiomba serikali kutoa elimu…
30 March 2023, 3:36 pm
Vijana na watu wenye ulemavu wasumbufu kulipa mikopo asilimia 10
MPANDA Vijana na watu wenye ulemavu wametajwa kuwa ni miongoni mwa makundi sumbufu kwa kutolipa mikopo ya 10% ambayo inatolewa na halmashauri ya wilaya ya Mpanda mkoani Katavi. Hayo yamesemwa na mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii wa manispaa…
29 March 2023, 8:29 am
Wananchi kata ya Nsemulwa walia na barabara
MPANDA Baadhi ya wananchi wa Kata ya Nsemlwa Halmashuri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameiomba serikali kutengeneza miundombivu mibovu ya barabara iliyopo katika kata hiyo katika kipindi hiki cha mvua za masika ili kuwaondolea adha wanayokutana nayo. Wakizungumza na…
25 March 2023, 12:38 am
Wananchi Kayenze wajipanga kuchangishana kujenga choo cha soko
KATAVIKijiji cha Kayenze kata ya Katuma Wilayani Tanganyika mkoani Katavi kimepanga kuchangishana kwa ajili ya ukamilishaji wa Jengo la Choo katika Soko Linalomilikiwa na kijiji. Diwani wa kata ya katuma Paulo Pamasi ameiambia mpanda Radio kuwa kuanzia mwezi ujao mara…
15 March 2023, 11:57 am
Diwani Magamba atoa siku mbili kikundi cha Kagera Group kufanya uchaguzi
MPANDA Diwani wa kata ya magamba ametoa siku mbili kwa Uongozi wa kikundi cha kagera group kuwasilisha taarifa ya uendeshaji wa kikundi hicho ili kurahisisha agenda ya uchaguzi kuziba nafasi za viongozi waliovuliwa nyadhifa zao. Agizo hilo limetolewa na diwani…
9 March 2023, 11:04 am
Mtandao wa Askari wanawake Tanzania na watoto wenye usonji
Picha na Lilian Martin Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani umoja wa Majeshi wilayani Masasi kupitia mtandao wa Askari wanawake wameadhimisha siku ya wanawake Duniani Kwa kuwa pamoja na watoto wenye mtindio wa ubongo na usonji katika shule ya…
3 March 2023, 21:43 pm
Mbunge awapongeza Kwa ubunifu week ya elimu Masasi
katika siku ya maadhimisho ya week ya elimu Kwa Halmashauri ya mji Masasi yaliyohudhuriwa na wanafunzi wa shule za msingi na secondary zilizopo katika halmashauri hiyo pichani ni wanafunzi wakionyesha burudani. sambamba na hayo katika maadhimisho hayo yaliyohudhuriwa na Mh…