Habari za Jumla
15 September 2022, 9:55 pm
Bil.40 za Mradi Kunufaisha Huduma za Malaria Mkoani Katavi
KATAVI Mkoa wa Katavi umepokea mradi wa miaka mitano utakao gharimu Bilioni 40 unaosimamiwa na serikali ya Marekani chini ya taasisi ya afya ya Ifakara utakoshirikiana na Mkoa kusimamia huduma za Malaria . Akizungumza wakati wa kutambulisha mradi huo mkurungezi…
10 September 2022, 10:46 am
TAMWA Zanzibar: waandishi wa habari wanolewa kuwasaidia wanawake kuwa viongozi
Uwepo wa asilimia ndogo ya ushiriki wa wanawake katika ngazi za maamuzi ni changamoto moja wapo inayopelekea kutopatikana kwa maendeleo kwa baadhi ya taasisi. Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa chama cha Waandishi wa Habari wanawake Tanzania – Zanzibar…
6 September 2022, 10:23 am
Wananchi Mkoa wa Katavi waachana na tahadhari za UVIKO 19
KATAVI Baadhi ya Wananchi mkoani Katavi wameonekana kuacha kuzingatia tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko 19 tofauti na ilivyokua hapo awali. Mpanda radio imepita katika maeneo mbalimbali mkoani hapa na kubaini kuwa hakuna tahadhari yeyote inayochukuliwa ya kujikinga na ugonjwa…
5 September 2022, 21:21
Mwanafunzi bora wa kijiji aomba msaada kuendelea na masomo Pangani
Mwanafunzi Aisha Ramadhani (20) mkazi wa Kijiji cha Stahabu wilayani Pangani mkoani Tanga ameomba wadau mbalimbali kumsaidiwa kwa hali na mali ili ili aweze kumudu kujiunga na masomo ya chuo baada ya kufanikiwa kuhitimu na kufaulu masomo ya Sekondari. …
1 September 2022, 11:01 am
Mrajisi: Wafanyabiashara kateni rufaa kupitia baraza la ushindani halali wa bias…
Wafanya biashara wilaya ya mkoani wametakiwa kutumia fursa za kukata rufaa kupitia Baraza la ushindani halali wa biashara Zanzibar ili kupata haki zao kisheria endapo hawakutendewa haki na watoa huduma mbalimbali Zanzibar . Hayo yameelezwa na mrajisi wa baraza hilo…
28 August 2022, 2:45 pm
Wananchi Pemba wanatakiwakuandika urithi ili kuepuka migogoro
Wananchi kisiswani Pemba wameshauriwa kuzingatia suala la mirathi mara tu baada ya mzazi kufariki ilikuepusha migogoro isiyo ya lazima katika familiya. Kauli hizo zimetolewa na zulekha suleimn sheha na Sharifa Shaban Hamad wakati akizungumza na mwandishi wa habari hizi…
23 August 2022, 7:32 am
Mbunge Maboto: Awahimiza Bunda Mjini kushiriki Sensa kikamilifu
Mbunge Jimbo la bunda Mjini Mhe Robert Chacha Maboto amewahimiza wakazi wa Jimbo la Bunda Mjini kushiriki Sensa ya watu na makazi kikamilifu Akizungumza na redio Mazingira Fm Mhe Maboto amesema lengo kuu la sensa ya watu na makazi ni…
22 August 2022, 4:52 pm
Kesi 39 za udhalilishaji zaibuliwa ndani ya robo mwaka Wete – Mkoani
JUMLA ya kesi 39 za udhalilishaji wa kijinsiazimeibuliwana wanamtandaowa kupinga udhalilishaji ndani ya wilaya mbili kisiwani pemba. Wakizungumza katika kikao cha kuwasilisharipoti hizo wanamtandao wa kupinga udhalilishaji wilaya ya wete na wilaya ya mkoani wamesema juhudi za pamoja kati ya…
21 August 2022, 2:43 pm
Mbunge viti maalumu Pemba aomba watu wenye ulemavu wahesabiwe
. Wananchi Kisiwani Pemba wametakiwa kutowaficha watu wenye ulemavu wakati wa zoenzi la sensa litakapoanza siku ya tarehe 23/08/2022 kwani nao wana haki kama binaadamu wengine. Kauli hiyo imetolewa na Mh Marya Azani mwinyi Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa…
20 August 2022, 10:44 am
IUCN kupitia ubalozi wa Ireland Tanzania yang’arisha vikundi vya wajasilia…
Wanavikundi cha Uvumbuzi Pujini Kibaridi,Mapape Cooperative Chambani na Yataka Moyo Chokocho wamelishukuru Shirika la IUCN kupitia mradi unaofadhiliwa na Ubalozi wa Ireland Tanzania kwa kuwasadia kwa hali na mali katika kuboresha vikundi vyao. Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti fupi…