Habari za Jumla
24 October 2022, 17:29
Play Woospin Casino’s Woospin for a Chance to Win Big!
Content Woospin Casino is a shining example of adventure and possibility in a world where gambling is more than a hobby. Woospin Casino provides an exciting experience that might alter your destiny, regardless of whether you’re an experienced player or…
24 October 2022, 17:27
Find Out How Australians Can Win Big at Ozwin Casino
Content No doubt you’re familiar with Ozwin Casino if you’re an Aussie in search of exciting online casino activity. Players from Australia who are looking to win big often choose Ozwin Casino because of its thrilling games and tempting jackpots.…
24 October 2022, 17:20
Discover Huge Wins with Woo Casino’s Freebies!
Content Do you feel like you’re ready to level up your gaming? At Woo Casino, you can win every game with free spins and bonuses, so be ready for an amazing adventure full of possibilities and thrills. Woo Casino offers…
22 October 2022, 8:09 pm
Salumu Mterela DAS Bunda; afunga maadhimisho ya elimu ya watu wazima Bunda
it katibu tawala wa wilaya ya Bunda mh. Salum Mtelela amesema ofisi ya mkuu wa wilaya ya Bunda itaongeza bajeti ya elimu ya watu wazima ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanafunzi wengi wanajiumga na elimu hiyo. Akizungumza kwa niaba ya…
19 October 2022, 14:50
Mpango wa Ofisi ya Umwagiliaji Pangani.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekusudia kuanzisha Ofisi ya umwagiliaji wilayani Pangani ili kusaidia sekta ya kilimo wilayani humo ambayo imeonekana kuathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi huku wahanga wakubwa wakitajwa kuwa ni wakulima wadogo Katika mahojiano…
19 October 2022, 13:51
Benzema ashinda Ballon d’Or kwa Sauti ya Pangani FM.
Ulimwengu wa Soka hujumuika mara moja kwa kila mwaka tangu mwaka 1956 ili kumtangaza mwanasoka bora wa mwaka husika. Oktoba 15 mwaka huu jijini Paris pale katika Théâtre du Châtelet Mshambuliaji wa Klabu ya Real Madrid na Timu ya…
11 October 2022, 10:35 am
Wakulima Washukuru kwa Mbolea ya Ruzuku
MPANDA Baadhi ya wakulima wa mazao kata ya Minsukumilo halmashauri ya Mpanda wameishukuru serikali kwa kuwapa ruzuku ya mbolea. Wakizungumza na Mpanda radio FM wakulima hao wamesema ruzuku hiyo itasaidia kuongeza mavuno tofauti na hapo awali huku wakiwahamasisha wakulima wengine…
21 September 2022, 12:25 pm
Wahamasishaji Jamii pemba watakiwa kuitunza miradi
PEMBA. Wahamasishaji jamii kisiwani Pemba wametakiwa kuongeza juhudi za kutoa uwelewa kwa jamii ili kuienzi na kuitunza miradi wanayoanzishiwa kwa lengo la kuleta maendeleo endelevu kwa vizazi na vizazi. Kauli hiyo imetolewa na mratibu wa mradi wa swil kutoka taasisi…
21 September 2022, 11:47 am
Katibu Machigini: wakulima ongezeni bidii kuondoa uhaba wa chakula
Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji wa bonde la machigini, shehia ya mjimbini Mkoani Pemba wameshauriwa kuongeza bidii kwenye kilimo chao cha mpunga kwa lengo la kuongeza kasi ya uzalishaji . Ushauri huo umetolewa na katibu wa bonde hilo,Hamdu Hassan…
20 September 2022, 14:53
Watu 900 watibiwa macho Pangani
Zaidi ya watu 900 wamepatiwa matibabu ya macho katika Hospitai ya wilaya ya Pangani kati ya tarehe 10-15 mwezi huu. Matibabu hayo yamefanyika kufuatia kambi maalum ya matibabu iliyowekwa Hospitalini hapo. Pangani FM imezungumza na Dk. Joan Amos Kibula…