Radio Tadio

Habari za Jumla

25 June 2026, 8:44 am

Wajasiriamali Mbozi watakiwa kuchangamkia mikopo maalumu

Pichani ni Vijana wajasiliamali walioshiriki kwenye kongamano la vijana kata ya Hasanga. Picha na Mkaisa Mrisho Watakiwa Kuchangamkia Mikopo Maalumu Na Mkaisa Mrisho HASANGA WAJASIRIAMALI wadogo  wilayani Mbozi mkoa wa Songwe wametakiwa kuchangamkia mikopo maalumu kwa ajili ya kundi hilo…

24 June 2026, 19:56

Jukwaa lafichua kero sekta ya ushirika Morogoro

Viongozi na watendaji wa ushirika watakiwa kuchukua hatua madhubuti za kuzuia vitendo vya rushwa ili kuongeza ufanisi katika utendaji na kuimarisha imani ya wanachama Na Katalina Liombechi Uwepo wa baadhi ya watendaji na wajumbe wa bodi wasio waaminifu pamoja na…

23 June 2026, 10:20 am

Watumishi watakiwa kutenda haki

“Niwapongeze sana kufanya bonanza hili katika mkoa wetu wa Katavi” Na Betord Chove Watumishi wa taasisi zinazohusiana na kutoa haki wametakiwa kushirikiana ili kuweza kutenda haki kwa wananchi katika kutekeleza majukumu yao. Wito  huo umetolewa na Katibu tawala wa mkoa…

17 June 2026, 8:32 pm

Vijana 7 waangamia kwa uhalifu Ihefu

Diwani wa kata ya Mdabulo Mhe. Marko Shayo akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ihefu kilichopo katika kata hiyo, wakati wa mkutano wa hadhara uliohusisha usikilizaji wa kero mbalimbali. Picha na Marko Msafiri. Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba, vijana…

16 June 2026, 8:12 pm

DC Mufindi ahimiza malezi bora

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Dkt. Linda Salekwa akihutubia katika maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika kiwilaya katika shule ya msingi Imehe. Picha na Kelvin Ayoub. Chimbuko la siku hiyo ya mtoto wa Afrika ni mauaji ya…

11 June 2026, 14:47

Serikali yaimarisha mapambano dhidi ya ajira za watoto

Waziri wa Kazi na Uwekezaji, Sharif Ali Sharif, amesema watoto milioni 138 duniani wanajihusisha na ajira za watoto, huku milioni 54 wakifanya kazi hatarishi. Amesema Zanzibar asilimia 7.5 ya watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 17 wanahusika katika ajira…

9 June 2026, 2:20 am

Kilichonileta kwenu ni upendo tu

“Kilichonileta kwenu ni upendo tuu wanalusungo,nimekuja ili tulie pamoja na tuhuzunike pamoja”. Na James Mwakyembe Baada ya kadhia ya mafuriko yaliyoikumba kata ya Lusungo miezi miwili iliyopita diwani wa viti maalumu chama cha mapinduzi na mlezi wa kata ya Lusungo…