Habari za Jumla
15 April 2026, 12:38 pm
Wanafunzi wafurahia zawadi kutoka kwa Waziri
Katika kukuza sekta ya elimu nchini waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi Dk Leonard Akwilapo amezidi kugusa baadhi ya shule na kuwapatia vifaa. Na lilian Martin Mbunge wa Jimbo la Masasi Mji,Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya Makazi,…
9 April 2026, 23:42
Goli la Mama kuinua vipaji vya wanasoka nchini
Na Catherine Sekibaha. Goli la mama ni mpango wa motisha kwa wachezaji na viabu vya tanzania vinavyoshiriki michezo ya kimataifa kama njia ya kuongeza hamasa. Kupitia mpango huo umechangia maendeleo makubwa ya kimichezo nchini. Hayo yanaelezwa kupitia makala hii.
9 April 2026, 17:06
Viongozi wa umma watakiwa kuendelea kuzingatia maadili
Sekretarieti ya maadili ya viongozi wa umma ni taasisi iliyo chini ya ofisi ya rais kwa kusimamia maadili ya viongozi wa umma katika uwajibikaji wa shughuli mbalibali. Na Jerome John. Viongozi wa umma nchini wamekumbushwa kuendelea kuzingatia suala la maadili…
3 April 2026, 15:05
Maono ya Rais Samia uchumi wa buluu ulivyoanza kuleta tija kwa wavuvi Pangani
Na Hamisi Makungu Mpango wa Serikali unaosimamiwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), umefanikiwa kuwawezesha wavuvi wa Mkoa wa Tanga kunufaika kupitia Uchumi wa buluu. Mpango huo ambao unatekelezwa kwa…
2 April 2026, 6:14 pm
Uvaaji mavazi yasiyo na maadili huchochea ubakaji
Na Anna Mhina Baadhi ya wanaume manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameomba serikali kusisitiza maadili kwa wanawake juu ya umuhimu wa uvaaji wa mavazi ya maadili ili kuepukana na vitendo vya ukatili ikiwemo ubakaji. Wakizungumza na Mpanda radio FM wanaume…
26 March 2026, 6:11 pm
Kupanda kwa bei ya nyama, kilio kwa wafanyabiashara
Wananchi katika manisipaa ya Mpanda wameomba serikali kuingilia kati swala la kupanda kwa bei ya nyama ili kuhakikisha bei inashuka na kuendana na hali ya maisha ya wananchi wa kawaida. Na John Benjamin Baadhi ya wananchi manispaa ya Mpanda mkoani…
24 March 2026, 18:41
Kaya 100 zakumbwa na mafuriko Kilombero
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea na juhudi za uokoaji pamoja na kuhakikisha wananchi wanapatiwa msaada na kubaki salama wakati huu Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Kaya zaidi 100 katika Wilaya ya Kilombero zimeathiriwa na mafuriko yaliyotokea usiku wa kuamkia leo,…
20 March 2026, 13:32 pm
Tutambue umuhimu wa utunzaji misitu katika maeneo yetu
Kata mti panda mti ni neno tunalolisikia mara nyingi ikihimiza umuhimu wa miti katika maeneo yetu kwa lengo la kutunza uoto wa asili je wewe ni miongoni wa wanao panda au wanaokata? Na Lilian Martin Kufuatia Siku ya Misitu Duniani…
19 March 2026, 08:01 am
Waandishi wa habari wapigwa msasa uthibiti wa Taarifa potofu mtandaoni
Kutokana na kuwepo kwa taarifa nyingi za upotoshaji katika mitandao ya kijamii Taasisi ya jamii Afrika imeona ipo sababu ya kutoa Elimu juu ya kutambua ukweli wa habari hizo ili kupunguza wimbi la taarifa potofu katika vyombo vya habari Na:…
17 March 2026, 2:26 pm
Megawati 50 za Umeme wa jua Kishapu zaikosha kamati ya Bunge
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kuendelea kutekeleza mkakati wa kuzalisha umeme kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya nishati (Energy Mix) ukiwamo mradi wa kuzalisha umeme wa jua wenye uwezo wa megawati 50…