Radio Tadio

Habari za Jumla

24 March 2026, 18:41

Kaya 100 zakumbwa na mafuriko Kilombero

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linaendelea na juhudi za uokoaji pamoja na kuhakikisha wananchi wanapatiwa msaada na kubaki salama wakati huu Na Katalina Liombechi/Kuruthumu Mkata Kaya zaidi 100 katika Wilaya ya Kilombero zimeathiriwa na mafuriko yaliyotokea usiku wa kuamkia leo,…

17 March 2026, 13:22

RC Macha amaliza mgogoro wa fidia kwa wananchi

“Ni kweli hakuna mtu asiyependa maendeleo ya nchi yake kila wananchi anatamani kuona miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa wingi bila changamoto zozote zile za kimaslahi kwa wale wanaopaswa kulipwa fidia zao kutokana na kupisha miradi hiyo katika maeneo hayo”. Na,Daniel…

12 March 2026, 1:05 pm

Wananchi waungana matengenezo barabara za mtaa

Wananchi wa ubalozi wa Msasani kitongoji cha Ipyana wilayani kyela wamehamasishana kulima barabara korofi kipindi hiki cha Mvua za masika na kupelekea kukosekana kwa mawasiliano kati ya ubalozi wao na balozi zingine. Na Masud Maulid Wananchi wa ubalozi wa msasani…

11 March 2026, 4:58 pm

RC Katavi asikiliza kero za wananchi

“Kila taasisi ipande miti” Na Leah Kamala Wananchi manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameelezea kero mbalimbali zinazowakabili katika maeneo yao, na kumuomba mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko kuzifanyia kazi ili kuboresha maisha yao. Kero hizo ziliwasilishwa na wananchi…

11 March 2026, 9:29 am

‘Wakulima zingatieni ushauri’

Wakati mkoa wa Manyara ukiwa katika kipindi cha masikia, wakulima wametakiwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo Na Kudra Massaga Wakulima wilaya ya Babati Mkoani Manyara wametakiwa kufuata ushauri unaotolewa na wataalam wa kilimo pamoja na mamlaka ya hali ya…

10 March 2026, 11:31 pm

Bugaga wanufaika na Miche 120,000 ya kahawa

“Tungependa kahawa hii imee na kusambaa katika Halmashauri yetu ya Wilaya ya Kasulu, hivyo tumieni fursa hii ambayo serikali imeitoa bure mkaitunze na msiende kuifanyia biashara badala yake mkaipande kwenye maeneo yenu”Amesema Ladislaus. Na; Mwandishi wetu Wakazi wa Kijiji cha…