
Recent posts

July 4, 2025, 3:40 pm
Kinnapa na mpango wa kuwarudisha watoto wakike shuleni
Picha ya mkurugenzi wa KINNAPA Abraham Akilimali, akizungumza na waandidhi wa habari na wadau mbalimbali wa maendeleo Wito umetolewa kwa waandishi wa habari Babati Mkoani Manyara kuendelea kuhamasisha sera ya haki ya kuwarudisha watoto wa kike shuleni. Na Linda Moseka…

May 21, 2025, 2:23 pm
‘Ufugaji wa nyuki una faida’
Picha ya Afisa ufugaji wa nyuki Halmashauri ya wilaya ya Babati, Fabian Mandas Imeelezwa kuwa ufugaji wa nyuki ni muhimu katika mazingira yetu na kwa binadamu kwa ujumla kwani ni chanzo cha tiba pia. Na Kudrat Massaga Jamii imetakiwa kujifunza…

May 19, 2025, 11:38 am
Wananchi jitokezeni kuboresha taarifa
Picha ya Afisa uchaguzi Bashan Kinyunyu Wananchi wametakiwa kujitokeza kwenye kuboresha taarifa pamoja na kujiandikisha kwa wale waliokosa nafasi hiyo awamu ya kwanza Na Kudrat Massaga Wananchi wamesisitizwa kijitokeza kwa wingi kwenye vituo vilivyotangazwa kwajili ya kuboresha taarifa zao pamoja…

May 6, 2025, 11:30 am
Wananchi toeni ushahidi kesi za ukatili
Wananchi wanatakiwa kutoa taarifa za ukatiri kwenye mamlaka za serikali ili kukomesha matukio kama hayo kuendelea kujitokeza katika jamii Na Mwandishi wetu Jamii imetakiwa kutoishia kwenye kuripoti tu matukio ya kikatili bali wanatakiwa kujitokeza mahakamani kwa ajili ya kutoa ushahidi…

May 1, 2025, 8:58 am
DC Kaganda arejesha amani kirudiki
Na Salum Majey Wananchi wa Kiru Diki, Wilaya ya Babati, wameonyesha furaha na shukrani zao kwa Mkuu wa Wilaya ya Babati, Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda kwa juhudi zake zilizofanikisha kurejeshwa kwa amani katika eneo lao baada ya miaka kadhaa ya…

April 30, 2025, 12:41 pm
Wakopeshaji na wakopaji watakiwa kuzijua sheria
Picha ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mahakama ya Wilaya Babati Stephano Yodal akiwa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Babati mjini Cesilia mbangati. Na kudrat Massaga Vikundi vinavyohusika na ukopeshaji pamoja na wakopaji kwenye vikundi vya mtaani wametakiwa kuzijua…

April 29, 2025, 12:56 pm
Waadhimisha miaka 61 ya muungano wilayani Babati
“Tanzania imeweza kusimamia Muungano kwa sababu waasisi wa hawakuwa na maslahi binafsi bali walikuwa na mapenzi mema na nchi“ Na Kudrat Massaga Wananchi Mkoani Manyara wametakiwa kuwashukuru viongozi wote waliopita na waliopo sasa madarakani kwa kuendelea kuenzi na kudumisha Muungano…

April 26, 2025, 9:26 am
Kocha Matano amlipua kipa mechi na Yanga
Baada ya fountain gate kufungwa magoli manne bila na Young African kocha mkuu wa club hiyo amesema hatompanga kwenye kikosi chake golikipa wake John Nobo Na Mbaraka Sungi Hii ni ripoti ya kamati ya michezo kupitia Smile FM 95.3 na…