Radio Tadio

Habari za Jumla

5 March 2026, 5:21 pm

Nkubhagana ataja faida za ufugaji wa nyuki

“Ufugaji wa nyuki una faida nyingi kutokana na matumi zake kuwa mengi pia” Na; Helbeth Barayata Wananchi wa Halimashauri ya Mji kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kujishughurisha na ufugaji wa nyuki, uchakataji na uuzaji wa mazao yanayotokana na mazao ya asali…

5 March 2026, 17:02

TPF-Net yaleta neema ya maji kambi ya Polisi Ziwani

Na Denis Mtamwega. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar Anna Atanas Poul, amezindua rasmi mradi maalum wa maji katika Kambi ya Polisi Ziwani, Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-Net). Uzinduzi…

5 March 2026, 1:47 pm

Ukosefu wa shule Mbogwe watoto wageuka vibarua mashambani

“Watoto wetu wanateseka” Na Anna Mhina Wananchi wa kitongoji cha Mbogwe kilichopo kijiji na kata ya Kabungu wilayani Tanganyika mkoani Katavi wameiomba serikali kuingilia kati ujenzi wa shule ya msingi ulioanzishwa katika kitongoji hicho. Wakizungumza na Mpanda radio FM wananchi…

5 March 2026, 1:45 pm

Watakiwa kuwalinda na kuwahifadhi wanyama

Ikiwa tarehe 03 machi ilikuwa ni siku ya wanyamapori duniani wananchi wamekumbushwa kuwalinda wanyama Na Kudra Massaga Wananchi wametakiwa kusaidiana na wahifadhi wa wanyamapori katika kuwatunza na kuwahifadhi wanyama ili wazidi kuendelea kuwepo kwa kizazi cha sasa na cha baadae…

3 March 2026, 4:25 pm

Programu yaongeza ufaulu kwa wasichana Geita

“Dhamira kuu ya programu hii ni pamoja na kuwawezesha watoto wa kike kufikia ndoto zao kwa kuwajengea uwezo wa kujiamini na kutokata tamaa kwenye masomo yao” – Khadija Kisatu, msimamizi wa Rasilimali watu wa GGML Na: Ester Mabula Programu ya…

28 February 2026, 17:05

Waziri Ndejembi ataka mradi wa Gesi Ntorya ukamilike kwa wakati

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amemtaka mkandarasi kukamilisha mradi wa bomba la gesi Ntorya–Madimba ifikapo Septemba 2026 Na Musa Mtepa Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa uchimbaji na ujenzi wa bomba la kusafirishia gesi asilia kutoka…

28 February 2026, 16:11

ZEC yakamilisha zoezi la kuteketeza nyaraka za uchaguzi 2025

Na Mary Julius. Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza rasmi kukamilisha zoezi la kuteketeza nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kwa mujibu wa matakwa ya Sheria ya Uchaguzi ya mwaka 2018. Akizungumza katika zoezi hilo lililofanyika kijiji cha Muyuni,…