Radio Fadhila

Recent posts

16 December 2022, 10:19 AM

Waandishi wa Habari Radio Fadhila wapigwa Msasa

Na Lawrence Kessy Waandishi wa Habari wa Kituo cha Radio Fadhila wamepata mafunzo ya jinsi ya kuandaana kuchakata habari za Mitandao ya Kijamii pamoja na kuzingatia maadili ya tasnia ya habari Mafunzo hayo yametolewa Alhamisi Desemba 15, 2022 na Amua…

9 December 2022, 6:23 AM

Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 09, Mwaka huu- MASASI

Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 09, Mwaka huu, Mkuu wa Wilaya Bi. Claudia Kitta ameungana na Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali pamoja na Wananchi Wilayani hapa pamoja na kufanya usafi wa mazingira kwenye…

9 December 2022, 6:19 AM

Kuelekea maadhimisho Ya Miaka 61 yaUhuru wa Tanzania Bara

Mkuu wa Wilaya ya Masasi Bi Claudia Kita   inayoadhimishwa terehe 09 Disemba kila mwaka ameongoza Bonanza la Mpira wa Miguu lililoambatana na Ugawaji wa vifaa vya usalama barabarani kwa Madereva pikipiki (bodaboda), Kofia ngumu (HELMET) na Jaketi maalum za kuvaa…

26 March 2022, 3:55 AM

Mkuu wa wilaya ya masasi Claudia kitta amewapongeza viongozi wa Dini

Mkuu wa wilaya ya masasi Claudia kitta amewapongeza viongozi wa Dini ya kiislamu wakiwemo viongozi wa BAKWATA kwa kuendelea kutoa ushirikiano na kushikamana na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo katika Wilaya na kuwataka wasiache moyo huo wa upendo. Kitta…

27 January 2022, 12:25 PM

TFS Kanda ya kusini yazindua kampeni ya upandaji wa Miti

WAKALA wa huduma za misitu Tanzania (TFS) kanda ya kusini imezindua rasmi kampeni ya upandaji miti wilayani Masasi mkoani Mtwara katika kipindi hiki cha msimu wa mvua ambapo miti zaidi ya 50,000 inatarajiwa kupandwa katika maeneo mbalimbali ya wazi katika…

24 January 2022, 5:06 AM

Uzinduzi wa wiki ya sheria nchini.

MASASI: Uzinduzi wa wiki ya sheria nchini. Matembezi yanaanzia Uwanja wa Fisi hadi Uwanja wa BOMA ambapo uzinduzi rasmi utafanyika. Kaulimbiu: “Zama za mapinduzi ya nne ya viwanda, safari ya maboresho kuelekea Mahakama mtandao” Kaulimbiu hii inahamasisha wananchi kutumia njia…