Radio Fadhila

Recent posts

16 January 2023, 10:07 AM

Shule jumuishi Ya Mfano Ya Msingi Lukuledi Imeziduliwa!!!

MASASI. Waziri wa Elimu Profesa Adolf   Mkenda amezindua  Shule ya Msingi jumuishi ya mfano Lukuledi Wilayani Masasi mkoani mtwara ikiwa ndio shule ya kwanza ya mfano kwasasa ambayo huwezi kuiona sehemu nyingine  Tanzani kwa ukubwa na wingi wa miundombinu  huku…

10 January 2023, 2:27 PM

CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA MASASI CHA MPONGEZA RAISI

Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi  wilaya ya masasi TWAHILI SAIDI MAYOLA, amezungumza na radio fadhila  juu ya tamko la raisi wa jumuhuri ya muungano wa Tanzania  dkt samia suluhu  hassan kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa…

19 December 2022, 7:06 AM

Kongamanola Wadau wa Salamu Kanda ya Kusini Lafanyika Mangaka.

WADAU WA SALAMU KANDA YA KUSINI WAFANYA MKUTANO WA MWAKA MJINI MANGAKA. Picha ya Pamoja baadhi ya Wadau wa Salamu Kanda ya Kusini, ambapo leo tar 17-12-2022 wamekutana Wilayani Nanyumbu Mjini Mangaka na Kujadiliana baadhi ya changamoto na namna ya…

19 December 2022, 6:56 AM

Argentina bingwa wa kombe la Dunia 2022

ARGENTINA BINGWA WA KOMBE LA DUNIA 2022 Pale wazee waliposema ya kale ni dhahabu walimaanisha kabisa hasa ukizingatia kilichotokea kwenye kombe la dunia nchini Qatari historia imeandikwa takribani miaka thelathini na sita nchi ya Argentina kuhusu story ya ushindi wa…

17 December 2022, 6:58 AM

MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA NAMUNGO MANUNGU

WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Omary Suleiman alianza kuifungia Mtibwa Sugar dakika ya 78, kabla ya Peteme Counou…