Radio Fadhila
Radio Fadhila
14/02/2025, 11:45
Na lilian Martin picha na Godbless Lucius Katika kuadhimisha siku ya Radio Duniani kulikuwa na kaulimbiu inayosema Radio na badiliko ya tabia ya nchi hivyo wadau kutoka TFS ikiongozwa na Afsa ugani kanda ya kusini {Lindi,Mtwara,na Ruvuma} Bwan Anderson Besisila…
20/01/2025, 12:45
licha ya kuwa mwanamuziki mkongwe pia King kiki ni mtunzi,mpangaji mziki na mwenye ujuzi wa ujasiliamali wa muziki.
09/01/2025, 23:25
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika habari kwa kuzingatia maadili ya uandishi ili kuepuka kuingia kwenye matatizo wakati wa uchaguzi mkuu. Na Lilian Martin Mhariri wa radio tadio Hilali Ruhundwa ametembelea kituo cha Radio Fadhila leo Januari 09, 2025 na kutoa…
09/01/2025, 11:48
Licha ya kuwa mlemavu wa kutoona Mzee Morris Nyunyusa alikuwa na uwezo wa kupiga ngoma 17 kwa wakati mmoja. Na Asha Mustafa Hii ni makala fupi kuhusiana na mpiga ngoma maarufu marehemu Morris Nyunyusa.
07/01/2025, 10:05
Halmashauri imetoa mafunzo kwa ajili ya wajasiriamali wadogo kwa ajili ya matumizi bora ya fedha ili kuepusha changamoto wakati wa urejeshwaji wa fedha hizo. Na Lilian Martin. Vikundi 28 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vinavyotarajia kupata mkopo wa…
09/12/2024, 11:20
Waamini wamekumbushwa kuwa sauti ya matumaini kama Nabii Baruku alivyokuwa sauti ya matumaini na kualikwa ili waweze kubadilika.Hayo yamesemwa na Askofu wa Jimbo Katoliki la TUNDURU-Masasi, Mhashamu Askofu Filbert Felician Mhasi kwenye homilia ya Ibada ya Misa Takatifu ya Dominika…
06/11/2024, 12:59
Na.Lilian Martin Mkuu wa Wilaya ya Masasi mhe.Lauter Kanoni amewaomba Waheshimiwa Madiwani kuendelea kuwahamasisha Wananchi wajitokeze kupiga kura ifikapo Nov 27, 2024 ili kuwachagua viongozi muhimu wa Serikali za Mitaa wanaowataka. Mhe.kanoni amesema kuwa katika zoezi la uandikishaji kwa Halmashauri…
06/11/2024, 12:34
pichani ni balaza la madiwani Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya Masasi limempongeza Mkuu wa Wilaya ya Masasi mhe.Lauter John Kanoni kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya ndani ya Halmashauri ya Wilaya Masasi. Wa mhe madiwani wametoa pongezi hizo tarehe…
03/11/2024, 20:22
Pichani ni jengo la X-Ray Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango Halmashauri ya Wilaya Masasi katika ziara yake iliyofanya hivi karibuni ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Halmashauri hiyo imeipongeza Kamati ya Usimamizi wa kituo na Watumishi kwa…
01/11/2024, 18:14
Kwa mwaka , 2024, Mandhari ya Wiki ya Lishe ya Kitaifa kauli mbiu ni ” Lishe Bora kwa Kila Mtu “. Kaulimbiu hii inaweka lengo la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya maendeleo endelevu, ikisisitiza kukuza mlo unaokidhi mahitaji ya lishe ya…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara